Shikamoo Jua, unachoma mpaka pesa

Huyu mzee, umenikumbusha mbali sana, James brown huyu na nyimbo yake ile I feel Good, mwaka 1970 huo natoka Arusha kwa mjomba nikielekea Dar Es salaam masomoni. Japo hii nyimbo ilitoka 1964 lakini hadi leo ikipigwa watu wanasimama.

Nyimbo nyingine ni it's man's man's world mwaka 1966 imetoka, dah umenikumbusha enzi za ujana wangu mkuu.

Mzee natania 1970 sikuwepo.
😁
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom