Huyo wa mbele sina hakika ni Harbinder Sing Seth.. Mwaka Jana tu alikuwa ana kidevu cheusi chote.. Na hata kama kakonda hawezi kuwa Mzee over night.. Atachakaa ndio ila sio kuzeeka. Huyo mbele ni MTU mwingine..
Umeona, uzi mzima masikini wanafurahi! Sidhani kama hao kukonda inawafanya watoto wao watoke shule za kata na Div 1 mwishoni mwa mwaka! Hao ndio watanzania!