Mwita25 JF-Expert Member Joined Apr 15, 2011 Posts 3,831 Reaction score 1,173 Nov 15, 2011 Thread starter #41 Papa Mopao said: Sauti na mikogo yako ya hapa na pale ukiongea na hata maneno yenyewe ya kiMuraa!! Wee ni Muraa kweli!! Click to expand... Mbona unajichanganya mwenyewe, au umeshindwa kupangilia maneno?
Papa Mopao said: Sauti na mikogo yako ya hapa na pale ukiongea na hata maneno yenyewe ya kiMuraa!! Wee ni Muraa kweli!! Click to expand... Mbona unajichanganya mwenyewe, au umeshindwa kupangilia maneno?
FirstLady1 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2009 Posts 16,789 Reaction score 5,417 Nov 16, 2011 #42 Invisible said: Hapana, nisingejibu hivi... Majibu yangu ni haya: Maraha bar, mzima lakini? Nini kinasababisha unakuwa 'toto tundu' siku hizi? Click to expand... Siasa za TZ zinamchanganya Mwita25
Invisible said: Hapana, nisingejibu hivi... Majibu yangu ni haya: Maraha bar, mzima lakini? Nini kinasababisha unakuwa 'toto tundu' siku hizi? Click to expand... Siasa za TZ zinamchanganya Mwita25
bombu JF-Expert Member Joined Jun 8, 2011 Posts 1,127 Reaction score 544 Nov 16, 2011 #43 tehe. Mwita25 kweli hiyo adhabu ilikuwa kali, yaani Invisible amekuwa wa pili kupewa shikamoo hadharani baada ya TANESCO Welcome back, We missed youuuu
tehe. Mwita25 kweli hiyo adhabu ilikuwa kali, yaani Invisible amekuwa wa pili kupewa shikamoo hadharani baada ya TANESCO Welcome back, We missed youuuu
Dena Amsi R I P Joined Aug 17, 2010 Posts 13,080 Reaction score 4,276 Nov 16, 2011 #44 BIG X said: 1 + 1=11!!!!! Click to expand... Hivi hapa ni jukwaa gani wewe??? Watu wengine kujitoa show hamjambo
BIG X said: 1 + 1=11!!!!! Click to expand... Hivi hapa ni jukwaa gani wewe??? Watu wengine kujitoa show hamjambo
O Olive Member Joined Jun 25, 2011 Posts 88 Reaction score 9 Nov 16, 2011 #45 Dena Amsi said: Alikuwa anatafuta promo huoni tulimtendea haki?? Click to expand... Aaaa,saana tu,