umeona eeh, yani response ni ya haraka sana wakati unafungua Web pages au streaming.. ila nadhani kwa sababu server zao bado hazijalemewa, tusubiri tuone baada ya kupata wateja wengi itakuwaje
Hahahahahahah!yan mtandao mpya huo? sasa watu million moja wakiconnect kutakuwa na kitu hapo? watu wanafunga 4g wao wanakuja na 3g wakati device zinategenezwa kutumia 4g watashindwa soko hao shaur yao!makampuni mengi ya telecommunication yamechemka hapa bongo mfano sasatel na nyingine ya kimarekali
Mbona hawajitangazi hawa majamaa
Ni watu wangapi tanzania wanamiliki cm za 4g mkuu? Ww mwnyw nazani huna. Utafungaje 4g wakati coverage ya 3g yenyewe huna...unafunga 4g kwa capacity gani? Halotel wame weka 3g sites paka kwa mkwe wako sasa yuko instagram huon kwao ni faida kuliko anaekimbilia 4g wakat subscribers wachache?
simu za 4g zipo nyingi sasa hivi. qualcomm ndio mtengeneza soc mkubwa wa simu na chip yake dhaifu kabisa itakayotumika kwa simu za bei rahisi yaani snapdragon 210 ina 4g lte, hadi mediatek siku hizi wana 4g hivyo hakuna excuse kuwa hakuna simu za 4g. wengi simu zetu zina 4g ila sababu hakuna network yake ndio maana huwezi itumia.
kuwa muelewa ndugu yangu, huwezi kuwa na 4g kwa Dar tu wakati 3g imekushinda. Inshort hawa 4g wamekurupuka. Wataweza kusambaza 4g wakati 3g tu imewashinda?
Kama halotel kaweka 3g mpaka vijijini hatuna budi kumpongeza.
kuwa muelewa ndugu yangu, huwezi kuwa na 4g kwa Dar tu wakati 3g imekushinda. Inshort hawa 4g wamekurupuka. Wataweza kusambaza 4g wakati 3g tu imewashinda?
Kama halotel kaweka 3g mpaka vijijini hatuna budi kumpongeza.
sasa unataka watu wasiendelee sababu kuna maeneo hayana 3g? why tusipige kura maghorofa dar yavunjwe hadi vijijini wakianza kujenga maghorofa tujenge wote? na mateja wa vijijini nao wanaocheza kamari ya karata 3 waandamane watake makasino.
lazima tukubali Tanzania enzi za ujamaa zimeisha sasa hivi tupo ubepari mahala penye faida basi wawekezaji ndipo watakapowekeza na tusitegemee mtu atoe mabilioni ya fedha akawekeze eneo litakalomtia hasara, kama wameweka 3g vijijini tutawapongeza ndio hilo halina ubishi lakini haliwapi sababu ya kutokuwa na 4g vilevile
kama 4g inalipa kwa dar tu then wataeka 4g dar, hakuna wa kuwazuia dunia nzima ipo hivyo hata nchi zilizoendelea kama marekani hazina coverage ya 4g nchi nzima ni miji mikubwa tu inayo
na 4g ikianza kutumika even wewe mtu wa 3g utafaidika sababu mbanano wa 3g utapungua wengine wakitumia 4g, speed ya 3g itaongezeka hasa maeneo yenye watu wengi.
Mbona hawajitangazi hawa majamaa
Nataka kujua hao halotel wako marangu mtoni tuu au tz nzima na vijiji vyakee