Shikamoo Filters..

Mkuu wa kujikoboa huwa situmii aisee. Unakuta demu sura coca-cola halafu mikono Mirinda😂😂

Anyway, Poor Brain njoo umuone ERoni asiye na Mask
 
Sawa sawa Dr. Kigwangala🤣
 
Mkuu haitakuwa sawa kum-expose. Huenda kuna watu wanamfahamu, ikawa rahisi kunitambua hata mimi.

Au unataka picha ya app ya filter anayotumia nikuombee kwake?
Edit toa sehemu ya juu tu afu tuma kuanzia kifua kuja chini..

Fanya hivyo tafadhari tuone picha yake ficha sura tu hatuna shida nayo, tuone shape
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…