Shikamoo Filters..

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Alafu mwanzoni we blood ulikua mwema sana ila ulipoanza kujiingiza katika kikundi cha vijana wa hovyo ukabadilika kabisa ..

kiufupi umeingia cha kike, mkuu ndo mana wenzako tunapigaga video call usiku wa manane ili tupate uhakika..

Kingine mi mtalam wa Photoshop naelewa sana yaani nikiona picha ina retouching nying najua kabisa hapa hakuna kazi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Nguzo anasemaje kwani
 
Mkuu mini ni mwema since way back, sijabadilika, wewe tu ndio huwa sjui unanionaje tu πŸ˜‚πŸ˜‚

Video calls huwa natumia kuwasiliana na baadhi ya watu tu, kwa huyu hata wazo sikuwa nalo kabisa, nadhani hapa my brain turned Poor.

Mtoto wa watu saa hizi zile baby umekula, baby unafanyaje, baby nimeshakumiss kaanza kuzituma kila baada ya dakika 5.. Anajifanya anaenjoy kuwa na mimi na kunipa vistory uchwara vya Ex wake waliomuumiza nyuma hajui kuwa mimi ndio shetani mwenyewe. Kimoyomoyo najisemea tu "WELCOME TO THE HEADQUARTER"

Kuhusu nguzo sasa 🀣🀣🀣🀣... Sitaki unigombanishe na watu Mwachiluwi
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Unavyojitetea sasa wakati ushaingizwa cha kike wewe tulia hukoooo...

Sema mwanangu unakula mashavu tuu na huyo mtoto maana kakukubali mwenyewe an kuna sisi tunafosigi king lakini wapi dadek
 
hudumia wazazi kijana, acha kuhangaika na matako mjini
 
Eeeh maana huyo mwenzie yuko kazini.....yaani wanaume kweli ni maharage ya Mbeya....mwenzie kampanga alike picha zote, kagonga mambo??jamaa kajaa kene mfumo
Aaaaaah kwahyo sisi ni marage ya mbeya..
Yaani maji mara moja tushajaa
 
Eeeh maana huyo mwenzie yuko kazini.....yaani wanaume kweli ni maharage ya Mbeya....mwenzie kampanga alike picha zote, kagonga mambo??jamaa kajaa kene mfumo
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
wanaume wengi ndiyo maana huwa ni rahisi mno kunasa kwenye 'honey trap', nguvu kubwa haitumiki wala ni kama tu kusukuma mlevi unakuta kashategeka..!!
 
Yaani ukimtabasamu kakutongoza he hee
halafu hata wakiwa treated tu vizuri wanajua mtu yupo interested nao, wanatongoza wanaishia kupigwa chini, kuna mmoja hadi alikuja lalamika humu eti aliona dalili zote na akashangaa kakataliwa, nikamuambia tu 'huwajui wanawake mzee'...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…