Shikamoo Filters..

πŸ˜…Najutia hata kuacha kwenda kazini ili niende kuzini.
 
Sasa chief mtu yeye ndo kaonesha kuwa interested na ku make move ya kwanza halafu wewe ndo unamtongoza, kwamba ulikua na maugumu kiasi hicho? Jifunze kuji control kuna siku utajinasisha mtegoni kirahisi sana.
Mkuu sikuelewa sababu za ukaribu huo maana alikuwa anajikanyaga tu ikabidi nimnyookee
 
Kikubwa umekula ubichi na papiro haikuwa ikitoa harufu, hiyo inatosha , filter acha abaki nazo mwenyewe. 😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…