Shikamoo Filters..

Shikamoo Filters..

Jobless_Billionaire

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2022
Posts
3,903
Reaction score
9,915
Wakuu kumekuchaje?

Kwangu sio poa sana. Najutia hata kuacha kwenda kazini ili niende kuzini.

Kiufupi, kama wiki mbili nyuma kuna mwanamke mmoja kwenye mtandao fulani amekuwa ni kama ametembelea page yangu. Alichokifanya ni kupitisha likes kwenye kila content ambayo nimewahi kushare, hadi zile za miaka ya nyuma kabisa. Zaidi ya hapo alicomment kwenye picha current lakini sikuweza kureply..

Sikujali saana sababu ni issue ya kawaida tu kutokea kwa mambo hayo. Wala sikutilia maanani sana hadi siku ya jumapili ambayo nilipokea ujumbe DM ulioandikwa "Mambo?"

Nilijibu poa, tukachat ila nilichokuja kugundua ni kuwa mwenzangu ananifahamu ila mimi sikuwa namjua na nilijaribu kupitia page yake kuna picha tano tu ambazo hazikutosha kufanya nimtambue au angalau nihisi nimewahi kumwona mahala popote. Nilimweleza kuwa sijaweza. Akawa kaniomba nambari ya simu, sikusita nikampatia, akanipatia zake pia.

Tulianza kuwasiliana, mambo yakawa yanaenda poa. Ilibidi nimwombe picha whatsapp ili nipate kumfahamu, alinitumia nyingi sana, zilionyesha ni binti mzuri sana.. kwa maelezo yake nilitambua yupo ndani ya eneo husika. Hadi kufikia hapo sikuwa nimejua hasa lengo la kuwasiliana na mimi lilikuwa ni lipi, ikabidi niingie tamaa tu nikamtongoza moja kwa moja. Sikupata ugumu sana kuafikiwa, nikakubaliwa. Nilifanya hivyo kwakuwa yupo karibu, nisingethubutu kama angekuwa mbali sababu ingekuwa ni upotezaji wa resources na time.

Kutokana na u-busy wa kazi sikupata kabisa nafasi ya kuonana nae. Ilikuwa ni tamanio la kila mmoja kuonana, ila muda haukuwa rafiki kwa upande wangu kutokana na mambo ya kazini.

Sasa baada ya mambo kupungua kazini nikaona leo niibe muda nikutane na huyu mrembo na nikafanikisha hilo. Nilimpigia dada wa Guest House moja niipendayo nika-book chumba nikamwambia saa mbili nitafika.

Nilienda hadi pale binti aliponielekeza nikamchukue. Nilifika, in reality ni binti mzuri ila matarajio niliyokuwa nimejiwekea na nilichokiona ni tofauti kidogo. Zile picha nilizoziona na rangi yake, sivyo alivyokuwa. Ile rangi ya mtume aliyokuwa nayo pichani si aliyokuwa nayo. Ilinipa kutambua kuwa zile picha alikuwa ameji-pimp tu. Siwezi kueleza kila kitu ila kwa wanaume najua mnaelewa hii situation na kile ninachojaribu kueleza kwakuwa ni wengi wamepitia hii situation kwa namna moja au ntingine kwenye harakati za kuchakata. Picha unayopata kichwani ndio hiyohiyo nayomaanisha.

Kitu kilichonipa sababu ya kuendelea ni package aliyonayo nyuma. Waswahili wanasema hunyimwi vyote, ndiyo ilivyo kwake.. hicho pekee kimenipa sababu bilioni za kujiamini.

Mzee wake ni mzee mmoja mwanajeshi mstaafu na ni maarufu japo mimi simfahamu. Maswali yake ni yaleyale kuniuliza kama sina wanawake wengi tangu siku ya kwanza namtongoza na kila siku huuliza hivi. Nimemtoa hofu japo haonyeshi kuamini kabisa.

Nimempelekea mbili takatifu, nikamuendesha hadi nilipomchukulia nikamuacha hapo.

Filters Shikamoo aisee.. Nakupa heshima yako. Usipoichukua safari hii nakupa hata kwa nguvu.. Najaribu kuwaza, kama hata tako angekuwa hana sijui ningeiweka wapi sura yangu. Poor Brain
 
Back
Top Bottom