Facebook mtu anaandika yuko north Carolina kumbe anaisha mbagala rangi tatu!
Shikamoo Facebook[emoji23][emoji23]
Mwingine kasoma Harvard university kumbe kamaliza Shule ya msingi kiembe mbuzi[emoji23][emoji23]