ukipiga ugali wake,maharage yake yaliyoungwa kwa nazi zake ukashushia na maji ya uhai na zile juice zenye sukari kama kashata....utaishi maisha marefu sana.
Kwa nini asiweze?kwani ndege ya abiria ni shilingi ngapi na utajiri wake unafikiri ni shilingi ngapi?Kwa pesa aliyonayo anaweza kuwa na shirika la ndege kwa taarifa yako sema watu wana vipaumbele vyao wamejiwekea nini wafanye na nini wasifanye.Biashara ya ndege Africa ni ngumu sana na ipo na changamoto nyingi sana na ndo maana mashirika mengi yanayumba angalia Kenya airways na precision air zinavyopata hasara.