Shikamoo baby!!!

Wewe itika usione aibu. Ukiona mke wako anakusalimia shikamoo jua wewe ni mwanaume kweli kwenye hiyo ndoa. Matumizi unatoa kwa wakati a unampa mahaba hadi anafika kibo.
Sio wote wengine hukuita kwa kukujejea, ni sawa na ile kuitwa TAJIRI wakati huna hata 100 mfukoni
 
Mi mke wng ananisalimia namzdi miaka 8 tn nasalimiwa baby shikamoo na hakuna tatzo.
 
Mbona kawaida sana mkuu, hiyo itikia tu alafu wanawake wa hivyo kuwa na michepuko ni nadra sana.
Achana na hao makurumbembe wanasema hawawezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…