Hawa ni wapyaMna umri gani?
Kwani salamu yenyewe inasemaje?Wakuu salama?
Hivi ni sahihi kwa mpenzi wako kukusalimia eti "shikamoo baby " hata kama umemzidi umri?
Mkuu pokea hiyo heshima.Wakuu salama?
Hivi ni sahihi kwa mpenzi wako kukusalimia eti "shikamoo baby " hata kama umemzidi umri?
Mimi hii ilinishinda mnalala wote mnajambiana halafu asubuhi et shikamoo nyoo siwezi! Ukitoa Salam tu ya mungu sijawahi msalimia ba mtu 🤣Aiseee wanawake tunatofautiana eti nimuamkie mtu anayenionyesha mapumbu yake weeh siwezi 😹🤣🤣
Labda sio mimi Lamo
Kwanza ikitokea siku mmegombana utampa shikamoo 😹😹😹Mimi hii ilinishinda mnalala wote mnajambiana halafu asubuhi et shikamoo nyoo siwezi! Ukitoa Salam tu ya mungu sijawahi msalimia ba mtu 🤣
Wanawake wengine kama mataahira eti shikamoo mume wangu🤣🤣🤣🤣🤣Aiseee wanawake tunatofautiana eti nimuamkie mtu anayenionyesha mapumbu yake weeh siwezi 😹🤣🤣
Labda sio mimi Lamo
Kwanza umsalimie ili iweje?Mimi hii ilinishinda mnalala wote mnajambiana halafu asubuhi et shikamoo nyoo siwezi! Ukitoa Salam tu ya mungu sijawahi msalimia ba mtu 🤣
😹😹😹 Siamkii toto la mtu mimi..!!Wanawake wengine kama mataahira eti shikamoo mume wangu🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂Aiseee wanawake tunatofautiana eti nimuamkie mtu anayenionyesha mapumbu yake weeh siwezi 😹🤣🤣
Labda sio mimi Lamo