Shikamoo Baba mwenye Nyumba, Method Mwanjali.

sembo

JF-Expert Member
May 25, 2011
4,350
3,451
Nanukuu...
BEKI mkongwe wa Simba raia wa Zimbabwe, Method Mwanjali leo amethibitisha tena kuwa anastahili kuitwa 'Baba mwenye nyumba' baada kuonyesha umahiri mkubwa kwenye mchezo wa kombe la Mapinduzi dhidi ya URA uliomalizika kwa sare tasa.

Mwandishi anaendelea...
Mlinzi huyo mtulivu alifanikiwa kuzima hatari zote zilizoelekezwa langoni mwao hali iliyolishawishi jopo la makocha kumtangaza mchezaji bora wa mechi ikiwa ni mara ya pili katika michuano hiyo inayoendelea kwenye dimba la Amaan hapa visiwani Zanzibar.

Mwandishi anamalizia...
Simba itamaliza mchezo wa mwisho hatua ya makundi kwa kumenyana na Jang'ombe Boys huku URA ikimaliza na Taifa Jang'ombe..

ANGALIZO: Tarehe 13.01.2017.. si mbali tukutane fainali..
 
Nahifadhi kauli yako.. nitarejea nayo baada ya Mnyama kuchukua mwali wake.
 
Wale wanaojifanya wanajua kufunga.. wajiandae vizuri tu baba mwenye nyumba yuko vizuri na timamu kabisa.. Kashaipanga vyema safu yake, akiwasubiri.
 
Nanukuu...
BEKI mkongwe wa Simba raia wa Zimbabwe, Method Mwanjali leo amethibitisha tena kuwa anastahili kuitwa 'Baba mwenye nyumba' baada kuonyesha umahiri mkubwa kwenye mchezo wa kombe la Mapinduzi dhidi ya URA uliomalizika kwa sare tasa.

Mwandishi anaendelea...
Mlinzi huyo mtulivu alifanikiwa kuzima hatari zote zilizoelekezwa langoni mwao hali iliyolishawishi jopo la makocha kumtangaza mchezaji bora wa mechi ikiwa ni mara ya pili katika michuano hiyo inayoendelea kwenye dimba la Amaan hapa visiwani Zanzibar.

Mwandishi anamalizia...
Simba itamaliza mchezo wa mwisho hatua ya makundi kwa kumenyana na Jang'ombe Boys huku URA ikimaliza na Taifa Jang'ombe..

ANGALIZO: Tarehe 13.01.2017.. si mbali tukutane fainali..
He deserve aisee
 
Wale wanaojifanya wanajua kufunga.. wajiandae vizuri tu baba mwenye nyumba yuko vizuri na timamu kabisa.. Kashaipanga vyema safu yake, akiwasubiri.
mkuu naskia yule mropokaji wao..(jeuri-mroho)
ameomba poo kwq tff...?

walifungulie tu...litakuwa limesoma namba vya kutosha...
 
Huyo Mwanjali au Mwanjale ndiyo utakuwa uchochoro kwa Yanga. Ameishafanyiwa kazi kujua weakness yake iko wapi.
Atawekewa mtu sahihi
 
Similar Discussions

5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom