Shikamo pesa!!!!

Mwanaume huyu Mungu anamuona halafu bila haya analalamikia matunzo, angalia alivyomfuja mtoto wa watu kumbe bado kabisa, leo ati na yeye anataka kula bata, aendelee kula makanyagio hovyo sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Uyo mama diamond hapo kapiga mekapu ..pia kapiga picha kwa camera nzuri ...yenye quality...lakin ukimuona live mbona utakimbia ...kashasagika senta bolti zote Huyo...sahiv watu camera za canon na mekaou zinawabadirsha sana watu...huko Insta .
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]
 
TLS ipo inajitosheleza kabisa; hayo mengine ni kutengeneza matabaka tu yasiyokuwa na ulazima wowote.

Jielimishe historia ya Wasabato na sheria zao za kishenzi zilizoanzishwa na Nabii wao Mke Ellen G White
Nyinyi watu wawili mnawaita wenzenu wabaguzi na washenzi kweli??!!! Kwa ubora gani mlio nao nyinyi ??!! Wote wawili hamna akili kama misimamo yenu inavyoonyesha. Hebu hukumu dhamira yao na hoja zao!!! Siyo kwa sababu wewe ni wa imani tofauti uumie, hayawahusu hata kidogo
Wewe unaona mwili wote umenawiri leo unatuuliza jibu unataka tukujibu nini tena?
Ahh wapi ile inaendelea kuwa malapulapu [emoji85] [emoji23]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…