Nguvu moja
JF-Expert Member
- Oct 20, 2017
- 3,370
- 2,715
Hivi na ile kitu nayo inafanyiwaga ukarabati au ni nje tu??!! [emoji40] [emoji85][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]
Uyo mama diamond hapo kapiga mekapu ..pia kapiga picha kwa camera nzuri ...yenye quality...lakin ukimuona live mbona utakimbia ...kashasagika senta bolti zote Huyo...sahiv watu camera za canon na mekaou zinawabadirsha sana watu...huko Insta .[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]
Mbona mnatumia nguvu nyingi sana kuipiga majungu familia ya MOND[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]
Fala wewe[emoji123] [emoji123] kwa hiyo wangu wa shida?Wengine wembamba ni wa shida tu, hata Daby atanenepa tu
Hivi we dogo ulisomea bk sec?Uyo mama diamond hapo kapiga mekapu ..pia kapiga picha kwa camera nzuri ...yenye quality...lakin ukimuona live mbona utakimbia ...kashasagika senta bolti zote Huyo...sahiv watu camera za canon na mekaou zinawabadirsha sana watu...huko Insta .
Hivi we dogo ulisomea bk sec?Uyo mama diamond hapo kapiga mekapu ..pia kapiga picha kwa camera nzuri ...yenye quality...lakin ukimuona live mbona utakimbia ...kashasagika senta bolti zote Huyo...sahiv watu camera za canon na mekaou zinawabadirsha sana watu...huko Insta .
Ipi hiyo?, hebu funguka.Hivi na ile kitu nayo inafanyiwaga ukarabati au ni nje tu??!! [emoji40] [emoji85]
Papuchi [emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji12]Ipi hiyo?, hebu funguka.
Hiyo ndiyo kazi ya Wabongo siku hizi.Mbona mnatumia nguvu nyingi sana kuipiga majungu familia ya MOND
Ok!!!!!.Papuchi [emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji12]
ndioHivi we dogo ulisomea bk sec?
Naunga mkono hoja 100℅ mkuuPesa, chapa,mkwanja,Bingo,mabovu,Shilingi,Ngawira,Mtonyo,Mawe,Maisha,Ndururu;hayo yote ni majina ya kitu kimoja na hicho ndcho knachowafanya akna Dada Corner bar,Posta (Ohio),Kwa Kimboka,Manzese (Lambo/Chama/Uwanja was fisi),Sinza (Afrika sana,Sheli ya Big bon),Tegeta (opposite na Tegeta complex), Chichi club (Tanga),majestic (Tanga),Kwa Blaza 'Y' (Mtwara),Villas Park (Mwanza),Makoroboi (Mwanza),Msamvu Stand (Morogoro) na Orion club (Tabora) kusimama ubaoni na kuuza 'V'
Pesa ndyo iliyofanya hata Gangwe Mob na crews nyingine kibao kuvunjika,ndoa zinadumu na kuvunjika Kwa sabab ya fedha,Magereza yamejaa watu wasio na hatia Kwa Sabab ya pesa, hata mtoto wa jirani amemkataa Baba yake was damu ili aje amuunge mkono Dingi a.k.a the Dingili Mkono
Kwa kifupi PESA ndyo jawabu la mambo yote!