Tinde nsalala
JF-Expert Member
- Feb 12, 2017
- 248
- 253
- Thread starter
- #21
Maneno kuntu!Malidhiano hakika ndilo jambo pekee litalo leta suluhu ya kisiasa.Shime wafanya SIASA pendaneni.Ni rahisi sana kwa Wapinzani kuwavumilia wanachama wa CCM lakini si rahisi wanachama na Viongozi wa CCM kuwavumilia Wapinzani.
Umefika wakati Viongozi wa CCM waanze wao kuwaonyesha wanachama wao kwamba Upinzani si.uadui.Tunaona Rais akisadiana.na wakuu wa wilaya,wakuu wa mikoa na polisi kutesa na kunyanyasa Wapinzani ifike mahali tuseme imetosha Taifa letu sote.Na.sote tuna haki ya kuishi na kuwa Viongozi ndani ya Taifa letu.
Viongozi waastaafu ni wakati wa kuamka mliko lala Tanzania yetu sote Mpinzani si RAIA wa kigeni ni Mtanzania mwenye haki zote za kiraia.Elimisheni wanachama wenu itoshe kusema sasa ubaguzi,chuki na visasi basi.
Tukae meza moja tushirikiane kujenga Tanzania