Hivi hii sheria mpya haitawahusu?
Hivi hii sheria mpya haitawahusu?
Kuna jamaa ana hasira nao sana na ameanza kuwafuatilia kama nao ni watakatifu kiasi hicho....wasishangae faragha zao nazo zikawa kwenye magazeti.....
Serikali ipi hiyo unayoizungumzia wewe ,Kama Tanzania hakuna serikali kuna uozo tuHawa GPL wanafanya makosa sana, nashangaa na serikali nayo iko kimya! Haki ya faragha inapotezwa kabisa!
nasikia shi(fimbo) siku hizi ana papazari wake wao kazi yake ni kuzunguka kwenye ma guest ya watu, kwenye parking za magari watu wanakupiga picha paparazi halafu wanakwambia eti utoe hela la sivyo kesho yake utajiona kwenye gazeti..
usipotoa pesa kesho yake utajikuta uko kwenye ukurasa wa mbele wa magazeti pendwa ya BUNDUKI, JUMAPILI, mbaya zaidi wanawafotoa wapenzi