Shigongo: Hivi ndivyo nilivyomalizana na CCM

Kwa maana hiyo ulipewa tenda hiyo kwa kukiukwa kwa sheria za manunuzi umesema ulijitoa muhanga kufanya kazi hiyo.
 
 
Salute kaka shigongo! Bandiko hili ni kofi ktk shavu la wanafiki,wazushi,vizabizabina,mapashukuna,nawenginewote wa tabia za aina hiyo ktk siasa za ttanzania..ubarikiwe sana nkoi!
 
Mi naomba CCM wasimlipe kabisa Huyo jamaa kwanza alikisaidia chama hahahah


Halafu tuone kama atajinasibu kuwa mwanachama mwaminifu au kada maslahi
 
Hukutakiwa kukaa kimya lakini pia ulichofanya ni sawa na mke badala ya kugombania na mme wake chumbani anatoka kugombania nje mtaani, ila nakupa pole komaa.
 
rejea maneno aliyokwambia mzazi wako, Uwe na akiba ya maneno.kukaa kimya nayo ni busara.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…