Shigongo: Hivi ndivyo nilivyomalizana na CCM

Haya
 
mwandishi wa vitabu vya kusadikika utamjua tu. Story yote hii ya nini sasa. nimesoma mpaka nikahisi nasoma moja ya vitabu vyake vya hadithi. lol... haya kila la kheri...
 
Story ndeefu kweli kweli mod haifai hii humu bana hii akaweke kwenye gazeti la Uwazi bana
 
sasa uendelee kuchafua watu kama kawaida yako , koz personal umechafua wengi na still watu tukakuonea huruma kama ukarimu wa kila mtanzania, stay positive , usiharibu watu kama wewe ulivyoogopa kufa na presha
Jamaa huyu ni mtunzi mzuri side
 
I am not coward i will speak kutetea chochote ambacho ni haki yangu katika maisha ambacho nimedhhlumiwa.
Safi sana erick shigongo. Hakika baadhi ya watu cowardness ambao wanaogopa kuzungumza ukweli kuhofia eti kutumbuliwa nonsense watajifunza kutoka kwako.
 
Kwa porojo hizi, wanaokudai watakuelewa kweli. Maana CCM ni wanaporojo wenzako, lakini mabenki huwa hawawezagi porojo ndefu. Jipange upya utapokwenda kwa wanaokudai.

Maana ulichotokanacho Lumumba ni ahadi sio pesa, na mabenki wanataka pesa leo. Pazuri hapoo ...... CCM ni ile ile!!!!!!!!!
 
U have stand up and speak on matters related to your interests?
Mbona mengine hauibuki kusema? Halafu unasema wengine tuseme haki isipokuwepo.

Mtu wa ccm yeyote tu ni mburula

Hata ukatae unaonesha u still have doubt s
Hoooh poor eric
 
[emoji16] [emoji16] [emoji16] Ishiiiiiiiiiii nilitaka jua MMU daaah mpk nauliza Tena hapa kila mtu anajua ushamba wangu [emoji124] [emoji124] ngoja ninywe maji tuuh
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] pole ngoja nkuelekeze

nenda kwenye forums then zitakuja forums za
General forum
Social forum
Edn an technical nk
Ingia social forum pale utakuta
chitchat..jokes..MMU (mapenzi uhusiano na urafiki)ingia humoo
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] pole ngoja nkuelekeze
[emoji17] [emoji17] hapa utadhihirisha ushamba wangu ni PM basi alf funga hata nisipojibu thanks ila kule ili unifichie ushamba wangu usiwe kama shigongo [emoji1] [emoji1]
 
[emoji17] [emoji17] hapa utadhihirisha ushamba wangu ni PM basi alf funga hata nisipojibu thanks ila kule ili unifichie ushamba wangu usiwe kama shigongo [emoji1] [emoji1]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ushamba dhambiii?!!!
 
upuuzi mtupu. we nenda kaandike story za udaku mkuu.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] pole ngoja nkuelekeze

nenda kwenye forums then zitakuja forums za
General forum
Social forum
Edn an technical nk
Ingia social forum pale utakuta
chitchat..jokes..MMU (mapenzi uhusiano na urafiki)ingia humoo
Ohooooo kumbe umenielekeza mbele za watu... Daaah[emoji17] [emoji17] [emoji17] ila thanks
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…