Shigongo amvaa Tundu Lissu

Ameshalipwa na CCM lile deni lake,maanake alilia kama mtoto.Naye ni tapeli tu kama wanachama wenzake.Aingii akilini umejifunga mwenyewe kwenye mikataba ya kishenzi,uje kumsingizia mtu mwengine.
 
Mtu akishaitwa tundu unategemea nini hii nchi ina Uhuru mkubwa nchi za wenzetu mtu kama tundu lisu hata u prefect wa shule ya msingi hawezi kupewa
Kweli au just joking
 
Akili ya Shigongo ni nyembamba hana hoja yakinifu za kumpinga Counsel Lissu.
 
kwani zile pesa zake za vifaa vya kampeni Alishalipwa na ccm?

Yaelekea watu wengi hawamwelewi Bwa Lisu ni nini Anachokitaka.

Labda mimi niwasaidie kidogo.

Bw Lisu Hapingi jitiada za Mh Rais Anazofanya, ila Bw Lisu Anataka Mh Rais Asisafishe Kikombe Nje tu Bali Asafishe Ndani ya Kikombe na Nje ya Kikombe.

Uwezi kushugulikia watu baadhi Alafu ukawaacha wengine Ambao kwa namna 1 au nyingine wanahusika 1/1 nadhani hapa mtakua mmemwelewa Bw Lisu.
 
Katika ulimwengu wa sasa si lazima wote wawe na mawazo yanayofanana ,mawazo mgongano ndio mwisho yanaleta fine product ambayo inakuwa na positive impacts, anachokifanya Lisu si kigeni wala kibaya ulaya watu kama yeye wanaitwa Critics si lazima anachokisema ndio kifuatwe ila katika 100 atakayosema kuna at least 1 litakalosaidia kufikia Mustakabali sahihi kwa manufaa ya waTZ tumwache atoe mawazo yake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…