kuna madini ambayo yamezuiliwa mpaka sasa? kuna mkataba ambao umeshabadilishwa mpaka sasa? kama upo nambie, mwanzo tuliambiwa kwamba wale Acacia ni wezi, wamekuja Ikulu mkulu kawapongeza kawaita wanaume, tangia lini wezi wanapongezwa eti kwa sababu wamekuja kunegociate? tangia lini unanegociate na mwizi? sheria zinasemaje kuhusu wakwepa kodi na wahujumu uchumi? kwamba tunegociate nao na kuwasifia kwamba wao ni wanaume???Kama mpaka sasa hujajua walichosahihisha, basi hukustahili hata kuuliza swali hili.
fafanua kwa nukuu (quotes), ni vipi Lissu anawatetea wazunguYupo sawa
Lisu kaishiwa, kiki zinamharibu huyu mtu
Kashindwa kuwatetea Wananchi wake
Anawatetea Wazungu
Huyu niwakupimwa sio bure
Hivi zile hela zake amelipwa au ndio anasubiri kwanza mauzo ya Makinikia ?Mfanyabiashara na kada wa Chama Cha Mapinduzi, Erick Shingongo amemnyoooshea kidole Tundu Lissu na kusema anashindwa kuelewa kwanini Mwanasheria huyo amekuwa ni mpingaji wa mambo mazuri na kusema jambo hili linamshushia heshima.
Erick Shigongo amesema hayo kupitia ukurasa wake wa Facebook na kusema yeye kwanza anapongeza hatua alizochukua Rais Magufuli juu ya sakata la madini na kudai kuwa limekuwa na matokeo chanya kwani kiongozi wa Barrick amelazimika kuja Tanzania na kubembeleza yaishe.
"Namheshimu sana Lissu, sana tu. Ni msomi wa sheria, tena mzuri tu! Lakini namshangaa, nashindwa kumwelewa kwa kitu kimoja kwamba kwa nini hawezi kukubali pale jambo jema linapofanyika? Mimi nadhani ni kujijengea heshima kubwa sana kuonyesha uzalendo pale nchi inapopambana na wizi wa maliasili ambazo hata hao Acacia wenyewe wameukubali, sasa kwa nini Lissu anaendelea kubeza kile kinachofanyika? Hakika hili linamshushia heshima" alisema Shingongo
View attachment 525174
Sasa asipojitoa ubongo atalipwa kweli ?huyu c ndo alikua analialia kadhulumiwa na CCM?
Neno Mzalendo kwa Tanzania ni Magufuli. Yani unavyomuona Magufuli alivyo ndio maana ya neno Mzalendo .Hivi neno Mzalendo kwa Tanzania ni yupi?
1. Aliyeidhinisha wageni watuibie?
2. Aliyeibua uibiwaji kwa Tanzania?
Siyo Lisu tu na wale waliyosema wanaomuunga mkono papa lowasa nao wakapimwe akili a.k.a Mchungaji MsigwaYupo sawa
Lisu kaishiwa, kiki zinamharibu huyu mtu
Kashindwa kuwatetea Wananchi wake
Anawatetea Wazungu
Huyu niwakupimwa sio bure
duuh kumbe na wewe ni mmojawapo wa watu wasioelewa kweli kilevi cha safari hii kimewachanganya watanzaniaMfanyabiashara na kada wa Chama Cha Mapinduzi, Erick Shingongo amemnyoooshea kidole Tundu Lissu na kusema anashindwa kuelewa kwanini Mwanasheria huyo amekuwa ni mpingaji wa mambo mazuri na kusema jambo hili linamshushia heshima.
Erick Shigongo amesema hayo kupitia ukurasa wake wa Facebook na kusema yeye kwanza anapongeza hatua alizochukua Rais Magufuli juu ya sakata la madini na kudai kuwa limekuwa na matokeo chanya kwani kiongozi wa Barrick amelazimika kuja Tanzania na kubembeleza yaishe.
"Namheshimu sana Lissu, sana tu. Ni msomi wa sheria, tena mzuri tu! Lakini namshangaa, nashindwa kumwelewa kwa kitu kimoja kwamba kwa nini hawezi kukubali pale jambo jema linapofanyika? Mimi nadhani ni kujijengea heshima kubwa sana kuonyesha uzalendo pale nchi inapopambana na wizi wa maliasili ambazo hata hao Acacia wenyewe wameukubali, sasa kwa nini Lissu anaendelea kubeza kile kinachofanyika? Hakika hili linamshushia heshima" alisema Shingongo
View attachment 525174
Anatetea tu maslahi yake binafsi. Kama kweli angekuwa ni mtetezi wa wanyonge wananchi wake kule kwao wasingekuwa maskini kiasi kile.huyu kaishiwa sera kitambo, na hajui Lisu anatetea nini, Lisu awezi kutetea wezi, ila anatoasomo jinsi ya kuwaana twende kwenye ukweli.
Msaliti ni hiyo ambayo aligonga meza kushabikia Sera na sheria mbovu pamoja na mikataba ya kihuni, wakati huo Lissu anaongoza harakati za kuzinusuru rasilimali zetu,, Leo anjifanya kushangaa eti nchi inaibiwa,,Lissu niwakuogopwa kama Ukoma
huyu Ni msaliti
Unavyo viashiria vyote vya upungufu wa dyudyu ya jinsia mbadala....sio kwa mihemko hiyo.Lissu niwakuogopwa kama Ukoma
huyu Ni msaliti
Kwasasa hana ubavu wa kumwandika wema wa chadema anayejitambua....Alilipwa lile déni alilokuwa analililia?? Huyo akaandike habari za wema huko!!