Shigongo amvaa Tundu Lissu

Upinzani ni nyenzo muhimu sana nchi hii watu wasiofikiri sawasawa wanaweza kubeza lakini tundu lisu na wenzake wanafanya kazi kubwa sana tena sana kuliko mtu unavyoweza kufikiri bila upinzani mambo yangekuwa vp? Wengi wa wale wanaomsifu rais wana maslahi na wengine huenda ndio wanatafuta maslahi kama huyo shigongo anawaza kwamba huenda akapata uteuzi kwa hiyo lazima awe na juhudi za kumpongeza na kuwabeza wanaompinga rais kwa namna yoyote bila kujali rais yuko sahihi au hayuko sahihi
 
Watu kama shigongo hawawezi kumuelewa TL
 
Kalipwa nini?! Hata hivyo kwa level yake sio rahisi kumuelewa Lissu, TL ni next level!
 
Shigongo anaonekana kaishiwa maarifa anatafuta kiki za kuinukia kwa lissu
 
Shigongo miaka yote ameishi kwa blackmail amekuwa akitumia matukio mbalimbali kujipatia pesa kwa njia haramu sasa kwa kuwa kajileta mwenyewe ngoja wana JF watamsomea dhambi zake zote ikiwemo idadi ya michepuko yake yote itaanikwa hapa
 
Shigongo anaonekana kaishiwa maarifa anatafuta kiki za kuinukia kwa lissu
Shigongo kwanza ni bonge la mshamba fulani kwa wale wasiomfahamu hana ujanja wowote zaidi ya kuishi kwa blackmail.
 
Kalipwa nini?! Hata hivyo kwa level yake sio rahisi kumuelewa Lissu, TL ni next level!
Naunga mkono hoja kwa 100% ni kweli IQ ya shigongo ni zero points zero.
 
Reactions: MTK
Shigongo Dar Live umeitelekeza unahangaika na Lissu! Wewe kweli si bure, inawezakana umerogwa. Mwenzako amekwisha kuwa na migogoro kadhaa akidai haki yetu kwenye madini huku wewe na chama chako mkimsurubu kwa ajili ya maslahi binafsi bila kujali taifa kwanza kama ilivyo kawaida yenu ya chama kwanza; haya hebu tueleze wewe ulichokwisha kulitendea taifa.
 
Reactions: MTK
Mke wangu amejaza magazeti yake sebleni kwangu, nakwenda kuyachoma yote na tangu Leo ni marufuku mke wangu au mtu yeyote kuingiza magazeti ya kuwadi huyu ndani ya nyumba yangu.
 
Reactions: MTK
shigongo baada ya hii serikali kuingia madarakani kapigwa na njaa kubwa hata gari zake nyingi ni mkweche kaamu kujipendekeza angalau alipwe vicent vyake vya ufisadi alizowabambikia CCM bili za uongo ni mwizi fulani CCM hawamtaki kaamua kujipendekeza akidhani atapewa ubunge kwa mgongo wa ukabila .
 
shigongo alichowahi kukitendea Taifa ni kumpiga picha majaliwa pindi akiwa naibu waziri na wizi kupitia tenda feki CCM huku akishamiri kwa blackmail hana cha maana zaidi ya hapo
 
Reactions: MTK
huyu kaishiwa sera kitambo, na hajui Lisu anatetea nini, Lisu awezi kutetea wezi, ila anatoasomo jinsi ya kuwaana twende kwenye ukweli.
 
Reactions: MTK
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…