Mbona umeandika AACHA? Nilizani umesahau kuanza na H, sababu wengi hawajui kuitumiia. Hivyo unasomeka kuwa hafanyi tena...
Shida sio Shigongo bali ni ninyi wasomaji...
Magazeti hayo yamepata usajili kwa ajili ya kuandika habari hizo za kidaku, hivyo hata msomaji unaponunua maana yake una kiherehere cha kusoma udaku...
La hasha ungelitafuta magazeti mengine yenye habari zenye tija na kuachana na hayo yenye taarifa za kidaku...
kwahili nakubaliana na wewe mwenyewe huwa najiuliza inakuwaje mtu kaingia guest na mtu wake halafu wao wakamfumanie hizo tarifa wamezipata wapi na huo mlango wa guest nani anaufungua kama siyo jambo la kupanga huu ni ujinga tu.Af Mafumanizi yote ya kupanga,wanawatumia vijana na wadada wa mjini wasio na ajira kutengeneza mafumanizi ili wapate habari.
Se
nt from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Yuko kibiashara zaidi anajua hayo ndio mambo ambayo watz wanayapenda muda si mrefu atakua billionea no tz
Shida sio Shigongo bali ni ninyi wasomaji...
Magazeti hayo yamepata usajili kwa ajili ya kuandika habari hizo za kidaku, hivyo hata msomaji unaponunua maana yake una kiherehere cha kusoma udaku...
La hasha ungelitafuta magazeti mengine yenye habari zenye tija na kuachana na hayo yenye taarifa za kidaku...
hizo ndo habari zinazopendwa