Shida za ndoa ( maoni ya wanaume)

zungumza nae .mwambie jinsi ilivyo ngumu!
mweleweshe jinsi anavokupa mzigo na hiyo familia
akiendelea kubisha (hasa ukizingatia ana kipato na una uhakika)siku moja muandalie hotpot (tupu)maji ya kunawa(jug lisiwe na kitu)umeme ukikatika hakuna kuongeza luku
wanao minya sehemu mle chipsi weeee af mrudi hom kimya akidai msosi mpe hayo maandalizi hapo juu!akili itamkaa sawa!
msaidie mume wako pale ambap kweli unajua ana shida lakini haya ya kukomoana no!no way!
hela ya huko kubangaika anaipeleka wapi?
SIO FAIR!
 
Pesa yangu shopping and have fun.wanawake tunajitwika
Mizigo .A real men will never take money from a woman
 

Pole sana. Mimi nakaribia kuoana na mchumba wangu ambaye tumekaa pamoja for more than 5 years.

Issue za responsibilities, mikopo, matumizi ya pesa tumeshare this katika kipindi chote cha uchumba.

Mume wako ana tatizo. Alishawahi kushika hela nyingi?

Usiwaze negative sana ila kuwa nae karibu kwa upole. I smell fishy
 
ni tabia mbaya sana tena sana kitegemea kutegea alioa ili alishwe bure maisha gani haya bure kabisa
 
hapo sasa Kipipi njooo
mtandike fimbo na unyumba usimpe
yaani kula umlishe,watoto ulee na usiku kucha akukwide? nooo big nooo
ngoja nimfatute@Natalia kwanza

Na mimba ubebe miezi tisa.....na uchungu juu!!!!!
Ningekuwa mimi hapo swala ni moja tu. . . .
Kumgeuza house boy....hataki anachapa lapa!
 
kha!! sasa huyo nu mume au d1ldo inayotembea?? tupa kule

khaaa! mdogo wangu umenichekesha sana mume dildo?????????

kiukweli kabisa huyu mume napata hisia kuna mahali anahudumia tena sana tu. huyu mama atakuja kustukia but too late, jamaa ananyumba anamjengea mtu some where wapenda wallet balaaa. chezea mashankupe ya jiji?
 

Habari ndo hiyo!!

Nadahani hata huyu dada ameligundua hilo.......ila hajalisema tu moja kwa moja!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…