M mwenyeKitu JF-Expert Member Dec 28, 2015 946 771 May 8, 2016 #1 Twende na trend.... Shida yote hii inasababishwa na uhaba wa sukari . Endelea.
M mwenyeKitu JF-Expert Member Dec 28, 2015 946 771 May 18, 2016 Thread starter #2 #Shida yote hii inasababishwa na bunge kutorushwa live
Bilionea Asigwa JF-Expert Member Sep 21, 2011 16,515 28,487 May 18, 2016 #3 Shida yote hii inasababishwa na udomo zege wangu
Sniper shooter Senior Member Jan 3, 2016 178 128 May 19, 2016 #4 shida yote hii inasababishwa na ungozi wa kutaka sifa
M mwenyeKitu JF-Expert Member Dec 28, 2015 946 771 May 24, 2016 Thread starter #6 #Shida yote hii inasababishwa na mapenzi kutawala fikra
mankachara JF-Expert Member Sep 27, 2013 6,146 3,463 May 24, 2016 #7 Sida yote hii inasababishwa na ukosefu wa pesa
Zuleykha JF-Expert Member May 20, 2016 1,176 1,680 May 24, 2016 #9 Shida yote hii inasababishwa na kutokujua thamani yako katika hii dunia
M mwenyeKitu JF-Expert Member Dec 28, 2015 946 771 May 25, 2016 Thread starter #10 #Shida yote imesababishwa na pombe
Coping Strategy JF-Expert Member Mar 30, 2014 439 385 May 25, 2016 #11 #shida yote imesababishwa na Lugumi
Szczesny JF-Expert Member Apr 15, 2016 7,180 25,923 May 25, 2016 #12 #shida yote hii inasababishwa na meneno ya jerry muro
Bigbootylover JF-Expert Member Oct 4, 2015 2,847 1,826 May 25, 2016 #13 #Shida yote hii inasababishwa na mimi kupenda MIZIGO
S St Lunatics JF-Expert Member Aug 29, 2015 6,644 11,166 May 25, 2016 #14 #shida yote hii imesababishwa na kuchelewa mshahara.
longi mapexa JF-Expert Member Jul 18, 2015 3,205 4,065 May 25, 2016 #15 #shida hii imesababishwa na mimi kutokuijua shida hii...
M mwenyeKitu JF-Expert Member Dec 28, 2015 946 771 May 27, 2016 Thread starter #16 Kuongezeka matukio ya mauaji #Shida yote hii inasababishwa na watu kukosa hofu ya Mungu
mgangawaukoo JF-Expert Member May 8, 2016 2,183 2,388 May 27, 2016 #17 #Shida yote hii inasababishwa na akili ndogo kutawala akili kubwa!
M mwenyeKitu JF-Expert Member Dec 28, 2015 946 771 May 29, 2016 Thread starter #18 Ajali za barabarani #Shida yote hii inasababishwa na uchovu wa madereva
N'yadikwa JF-Expert Member Aug 10, 2014 7,121 10,230 May 29, 2016 #19 #shida yote hii ni kwa sababu unategemea mshahara pekee!!