Shida ya wanaume humu ni hii


We dada hebu kuwa na kifua bas, mambo ya DM yabaki DM, hizo avatar ni picha tu na wala hazitafsiri tabia ya mhusika.
 

hapo nyongo sasa imeisha utakuwa ushatulia. anachoposti mtu hakina uhusiano na uhalisia wa maisha yake. mtu anaweza kuwa mshauri mzuri sana lakin nje ya hapa yupo tofouti na ushauri wake. mwingne unaweza muona mhuni nk lakin huku mtaani n mstaarabu sana
 
Wanajifanya wao Wana machine kubwa, wanaweza kwenda hadi bao tano... Mara tulienda vacation na side chick, mara oooh ananipenda lkn simpendi...... Story za vijiweni vinaletwa humu..... Asilimia kubwa ya wanaume wa humu wanamaisha magumu kama magaga ya nyangumi.........ety mwingine anasema yani mie ambae ameishia form 4 na mwingine mwanamke mwembamba simuwez.....kumbe hao wote vibamia mfukoni na mdomoni.... Khaaaaah balaa lipo humu



Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 

Naomba Mechi..!!
 
Nakaziaaaaaaaaaa!!!![emoji3577][emoji3577][emoji3577][emoji3577]
 
Naungana na wewe kwa asilimia nyingi vitu vingi uliovizungumza vina ukweli ndani yake hii ndio jamiiforum sometimes inabidi uvumilie tu si unajua kuna watu hawana lugha nzuri kabisa mamie wasamehe bure kelele za chura hazimzuii tembo kunywa maji.
 
Nimerudia kusoma tena nimecheka sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119] kumbe mnapeana sana Papuchi humu Aloooo Nina pitwa na mengi sana mbwa mie [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]
Na mimi nimepitwa kwa kweli
 
Hili suala la kujifanya una hela nyingi binafsi silipendi Bora ukubali uhalisia wako kuliko kudanganya mwanaume anatakiwa awe really sio fake bidada kwenye Hili nakuunga mkono
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…