Shida ya wanaume humu ni hii

Shida ya wanaume humu ni hii

Unique Flower

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2019
Posts
12,841
Reaction score
25,351
Mtu anakaa single kisa avatar yake.
Mtu anaweka fisi anayehema sijui mwingine mjusi aliyebanwa mlango sasa wewe kama upo serious kwanini usiweke bendera ya Tanzania hata ziwa victoria.

Niambie tu upo serious na mwanamke halafu unamadharau. Huna maneno mazuri unatukanatukana watu hii imekaaje sema tu.

Acheni ushoia bwana mwanaume raha mwanaume heshima, humu tumezeeka wote stress hatutaki. Kama unataka uoe Mkenya jua Mkenya atakubinya hiyo dudu yako ataikata aile kama soseji.

Walahi wanajf hasa wanaume mnakera, kwanza waongo pili mnajidai mwanamke awe na hekima ipi wakati wewe hujitambui unataka nini.

Unaonekana huwezi inshu tu na umefulia kwa sababu ngekuwa una weza mambo usingekimbia shoo.

Kuna watu humu wanasemaga ukweli tunaandikiana tu na kunyamaza. Humu wengi hamna nguvu za kiume na hela mnadunduliza mnazo.

Hatuwadharau ila jirekebisheni, kama umeoa sema nimeoa babe. Upewe ya kirafiki sio mtoto analia unadai nitakupigia nipo hospitali. Makelele sana hadi lini.

Wazungu ndio dili tu humu mmechanganywa na malimbwata.
Kama umeshindwa kusimamia shoo wewe kaa kimya halafu muone haya basii.

Hata mtoe vifutio jashooo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom