Shida ya maji mjini morogoro

wakimataifa.

JF-Expert Member
Jun 7, 2015
1,625
554
katika awamu hii ya tano ya utawala wa JPM kuna miradi mikubwa inatekelezwa ya miradi ya maji hapa nchini ila morogoro mjini yenye shida ya maji siisikii hii inasababishwa na viongozi wa mkoa huo wengi wao wanamagari ya uzwaji wa maji mitaani kwa bei ya juu
 
Morogoro mjini kuna shida ya maji?unaijua shida ya maji wewe?au unaropoka?kipindi naishi morogoro,maji yanatoka alfajiri mpk saa 5 asubui.
 
kwa hiyo hoja yako ni kwamba shida ya maji ipo au haipo pale moro mjini??
 
Miaka zaidi ya hamsini bado mnalia shida ya maji, tena town? Lichama gani kwanza linaongoza hiyo manispaa? Huyo ndio mchwa mwenyewe!
 
Nmeondoka morogoro miaka 4 iliyopita,sijaona km kuna tatzo la maji kabsa!
 
ukienda morowasa utakuta foleni ya mgari ya kubeba maji si mchezo mpaka mingine yanakosa maji
 
katika awamu hii ya tano ya utawala wa JPM kuna miradi mikubwa inatekelezwa ya miradi ya maji hapa nchini ila morogoro mjini yenye shida ya maji siisikii hii inasababishwa na viongozi wa mkoa huo wengi wao wanamagari ya uzwaji wa maji mitaani kwa bei ya juu
Taja maeneo yenye shida ya maji.
Morogoro kuna maeneo maji mengi mpaka bustani wanamwagia. Kuna maeneo maji bure kabisa, na maeneo mengine maji ndoo tsh 400-500 ndani ya manispaa.

Ushauri wangu ni kuwa vyama vya upinzani miaka ijayo wakitumia hili suala LA maji na umeme manispaa watakuja kuchukua jumbo hili. In vizuri chama chetu CCM kiliangalie hili kwa makini. Hata hivyo natumaini wameliona maana kila mahali mabomba yamefukiwa. Huenda maji yatatoka mwaka 2019 kabla ya uchaguzi serikali za mitaa
 
Miaka zaidi ya hamsini bado mnalia shida ya maji, tena town? Lichama gani kwanza linaongoza hiyo manispaa? Huyo ndio mchwa mwenyewe!
Ni sehemu za makazi mapya za kuanzia 2005 ndio zina shida sana za maji. Kinachotakiwa ni Serikali kunakogawiwa viwanja na watu wanajenga waweke huduma za jamii kama maji na umeme, bora hats hospitalit ziwe mbali maana kuugua kwa mwaka sio kila siku. Maji ni kila dakika yanahitajika kwa kila kaya.
 
Tunailaumu serikali bure ila tuwalaumu wale wakata miti na wachoma mkaa pia wale waliovamia kule kwenye vyanzo vya maji hawataki kutoka kwa ajili ya hizo siasa na siasa ndio zinaturudisha nyuma maana badala ya kufanya kazi za kusaidia wananchi wanaogopa kukosa kura kwenye chaguzi zao hii inaturudisha nyuma sana,maji mengi morogoro yanaishia kwenye mashamba ya wavamizi wanayafungulia hayafiki kwa wananchi wakienda kutolewa polisi wanapigwa wanasiasa wanasema waachane hayo mambo nilitashuhudia yakaniumiza sana
 
Hili la upungufu wa maji hata kama lipo lakini si kwa kiasi kikubwa, kwani hata kipindi maji yapo mengi tu lakini tatizo bado lipo.
Tatizo mamlaka imeamua kufanya biashara na si kutoa huduma, maji ya kuwauzia wenye magari wanayo lakini ya kusambaza kwa wananchi hawana.
 
Eneo Kama Kingolwira Ni Kongwe Ila Maji Shida Sana Halafu Kuna Bango Unaingia Manispaa Ya Morogoro
Viongozi Wetu Walione Hili Jambo
 
Hili la upungufu wa maji hata kama lipo lakini si kwa kiasi kikubwa, kwani hata kipindi maji yapo mengi tu lakini tatizo bado lipo.
Tatizo mamlaka imeamua kufanya biashara na si kutoa huduma, maji ya kuwauzia wenye magari wanayo lakini ya kusambaza kwa wananchi hawana.
unakuta masika mvua nyingi, lakini maji bado shida halafu magari yanapita yanauza maji..! kama maji hakuna au kuna upungufu wa maji kwanini wanapata maji ya kuuza ktk maari? wametandaza mabomba kule kihonda, mkundi lakini hayatoi maji....!! ama kweli mamlaka imeamua kufanya biashara
 
Rais Alisema Wakuu Walioteuliwa Wasingoje Ziara Zake Ndiyo Wananchi Waanze Kueleza Kero
Atawatumbua
 
Morogoro mjini kuna shida ya maji?unaijua shida ya maji wewe?au unaropoka?kipindi naishi morogoro,maji yanatoka alfajiri mpk saa 5 asubui.
hayo magari zaidi ya 80 yayouzwa maji unafikiri yanauzwa togwa?
 
Nmeondoka morogoro miaka 4 iliyopita,sijaona km kuna tatzo la maji kabsa!
Acha uzushi wewe moro imekuwa maradufu wanashida kubwa sana ya maji maeneo kama kihonda mwisho manyuki yespa nk nitatabu tupu wewe miaka 4 haupo halafu unaongea nini sasa
 
Mkuu acha kuniita mzushi,nmekuambia nmeondoka uko 2008,nmeishi kihonda bima,sabasaba,mawenzi sokoni!sijawai kuona shida ya maji kwa kweli!
 
Kati ya mikoa ambayo nimeishi na niliupenda ni morogoro upo vzr ila changamoto ya maji tatizo kwan maeneo machache yanapatikana kwa urahisi mathalani forest,mazimbu na msamvu B! Maeneo mengine changamoto kubwa xana kama nane nane, kihonda mwisho hatar viongoz wanatakiwa kuondoa ubinafsi kwa kuwasaidia wananchi ili kuondokana na kero hizo! Ni aibu miaka zaidi ya 50 kuendelea kukumbatia changamoto ya maji kwa nchi za afrika watati we can!
 
Nipo Miami lodge hapa Moro siku ya sita maji huku self containers maji hamna
 
Back
Top Bottom