Shida ya Maji jijini Tanga

Unataka kutuambia miaka yote watu walikuwa hawalimi na kuchimba madini katika chanzo cha maji? Chanzo cha maji unakijua? Kuna tatizo mahali fulani Tanga UWASA lishughulikwe.
 
Unataka kutuambia miaka yote watu walikuwa hawalimi na kuchimba madini katika chanzo cha maji? Chanzo cha maji unakijua? Kuna tatizo mahali fulani Tanga UWASA lishughulikwe.
human activities sasa kwenye maeneo ya chanzo cha maji zimeongezeka (tofauti na miaka ya nyuma) ndo nacho kwambia hapo awali kulikuwa hamna izo shughuli kwa kiasi kama sasa, na mvua zikinyesha zinabeba hilo tope naongea hivi kwasababu nimefuatilia haya maswala kumeunda hadi kikundi cha kufuatilia suala la mazingira uko kwenye chanzo cha maji ili kumonitor shughuli za kibinadamu baada kuona zinaongezeka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…