Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 14,703
- 7,907
Ni kweli. Tanga UWASA inakufa kifo cha mende. Taabu tupu. sehemu zingine ni almost a month with no running water!Nimetembelea katika jiji la Tanga,nimekumbana na tatizo kubwa la maji.Katika kumbukumbu zangu jiji hili,halijawahi kuwa na tatizo la maji.Inasemekana sasa ni wiki ya pili,maji hayatoki katika mabomba ya jiji hilo.
Wakazi wa jiji hili,walisema wanatumia maji ya visima,vilivyopo kwenye misikiti ya jiji hilo,pamoja na maji mvua.
Aisee poleni mimi hapa ninapoishi maji yapo 24/7 ni hapa hapa Tanga karibu na Tanga CementNi kweli. Tanga UWASA inakufa kifo cha mende. Taabu tupu. sehemu zingine ni almost a month with no running water!
Rosmini au? Pongwe? Mikanjuni /mwahako/mwangombe karibu mwezi unaishaAisee poleni mimi hapa ninapoishi maji yapo 24/7 ni hapa hapa Tanga karibu na Tanga Cement
Tope tupu.Unayosema ni kweli kuhusu tabu ya maji na baadhi ya maeneo inawapasa kuamka usiku kulindia maji, na wakati mwengine hata yakitoka yanakuwa machafu hali inayosababisha magonjwa ya tumbo.
SarujiRosmini au? Pongwe? Mikanjuni /mwahako/mwangombe karibu mwezi unaisha
Kufanya nini, kwani wao hawajui kuwa water is not pumped in their pipes. Kilichobaki ni kuomba msaada ngazi za juu. Tanga haikuwa ha shida ya maji , Magufuli will be the answer. Let other engineers try, !Mbona ulishindwa kufika mamlaka ya Maji kuulza hilo jambo ili ulete habar iliyonyooka. Wewe unatembea tu mitaani.
asante, shida tupu!Saruji
Sisi maji yapo
Poleni majirani kumbe huko mna tatizo la maji
Nimefikia Tanga mjini,wenyeji wa hapa wanasema maji yalikuwa yakitoka machafu,yenye tope,baadaye hayakutoka kabisa.Mbona mi naishi Tanga na maji ni 24/7 yanatoka au wewe uko Tanga ipi mkuu?
Jiji limekuwa na ongezeko kubwa la watu tofauti na miaka nyuma , halafu vyanzo vya maji vimebaki vile vile ,Nimetembelea katika jiji la Tanga,nimekumbana na tatizo kubwa la maji.Katika kumbukumbu zangu jiji hili,halijawahi kuwa na tatizo la maji.Inasemekana sasa ni wiki ya pili,maji hayatoki katika mabomba ya jiji hilo.
Wakazi wa jiji hili,walisema wanatumia maji ya visima,vilivyopo kwenye misikiti ya jiji hilo,pamoja na maji mvua.
Basi ni shida kwenye baadhi ya maeneo mkuu sio pote, hata hivyo mamlaka zihakikishe zinatatua tatizo maana maji ni muhimu hata kushinda umeme.Nimefikia Tanga mjini,wenyeji wa hapa wanasema maji yalikuwa yakitoka machafu,yenye tope,baadaye hayakutoka kabisa.
Kwa taarifa nilizopata,jiji hili lilikuwa na visima vikubwa,viko barabara 14,ndio ilikuwa chanzo kikuu cha maji katika jiji hili,kabla ya kutumia maji ya mto.Labda mamlaka zinazohusika warudie kutumia chanzo hiki tena.Jiji limekuwa na ongezeko kubwa la watu tofauti na miaka nyuma , halafu vyanzo vya maji vimebaki vile vile ,
Hivo visima vikubwa 14 wakati vinajengwa Jiji lilikuwa na watu mfano 30,000 ila kwa sasa Jiji lina wakazi labda ya watu 200;000 ... bado hivo visima havitaweza kuwapatia maji wakazi wote kama zamani...Kwa taarifa nilizopata,jiji hili lilikuwa na visima vikubwa,viko barabara 14,ndio ilikuwa chanzo kikuu cha maji katika jiji hili,kabla ya kutumia maji ya mto.Labda mamlaka zinazohusika warudie kutumia chanzo hiki tena.
Lakini kiasi fulani vingesaidia kupunguza makali ya kukosekana kwa maji.Kwa mfano hivi sasa wenyeji wanasema visima vya umeme vya misikiti ndio vinavyowasaidia sasa.Bahati nzuri jiji hili kila mtaa huwezi kukosa msikiti,na misikiti yote ina visima hivi vya maji yanayovyutwa kwa pump za umeme.Hivo visima vikubwa 14 wakati vinajengwa Jiji lilikuwa na watu mfano 30,000 ila kwa sasa Jiji lina wakazi labda ya watu 200;000 ... bado hivo visima havitaweza kuwapatia maji wakazi wote kama zamani...