Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 52,712 Reaction score 128,393 Nov 16, 2017 #21 Daah. Pole yake huyo mdada. Huenda ikawa walikuwa wanapendana vizuri tu na mume wake ila mama mkwe ndio kavuruga ndoa yao.
Daah. Pole yake huyo mdada. Huenda ikawa walikuwa wanapendana vizuri tu na mume wake ila mama mkwe ndio kavuruga ndoa yao.
jay311 JF-Expert Member Joined Oct 21, 2012 Posts 2,928 Reaction score 2,726 Nov 16, 2017 #22 Aking'ang'ania itakuwa kiherehere chake
Demi JF-Expert Member Joined Nov 22, 2016 Posts 42,814 Reaction score 95,726 Nov 16, 2017 #23 molwe said: Mama mkwe kamfukuza mka mwana nyumbani, mume kaungana na mama yake! Jamani kuna sababu ya mke kung'ang'ania ndoa hiyo?? Click to expand... Naondoka kwa raha zangu. Amuoe mama yake! Wanaume wanaofanyiwa maamuzi na mama zao ni shida!
molwe said: Mama mkwe kamfukuza mka mwana nyumbani, mume kaungana na mama yake! Jamani kuna sababu ya mke kung'ang'ania ndoa hiyo?? Click to expand... Naondoka kwa raha zangu. Amuoe mama yake! Wanaume wanaofanyiwa maamuzi na mama zao ni shida!
Mtili wandu JF-Expert Member Joined Dec 15, 2012 Posts 11,095 Reaction score 16,486 Nov 16, 2017 #24 demi said: Naondoka kwa raha zangu. Amuoe mama yake! Wanaume wanaofanyiwa maamuzi na mama zao ni shida! Click to expand... Ni shida haswa ndiyo wa mama wa hivyo wanakuwaga wajuaji / na kimbelembele wacha waowane na mama yake kwa kweli.
demi said: Naondoka kwa raha zangu. Amuoe mama yake! Wanaume wanaofanyiwa maamuzi na mama zao ni shida! Click to expand... Ni shida haswa ndiyo wa mama wa hivyo wanakuwaga wajuaji / na kimbelembele wacha waowane na mama yake kwa kweli.