Shida ya control number bodi ya mikopo

lutajangurwa

Senior Member
Sep 21, 2019
126
172
Kuna shida ya kupata control number kwa wanaosajili undergraduate mikopo ya elimu ya juu. Sijui shida ni nini. Baada ya ku confirm jina na kuweka details zinazotakiwa, system haileti control number bali inasema wait au reload. Nauliza, nifanyeje ili niweze kuvuka hatua hiyo? Au kuna portal fake na portal sahihi? Naomba msaada
 
Mimi nimeipata, kirahisi tu
 
,mkuu samahani hii shida yako uliitatua vipi?
 
Back
Top Bottom