fungi06
JF-Expert Member
- Jul 1, 2020
- 633
- 858
Nahunga mkono hoja.. au atumie shitheadCan you change your username to ~Thinkless please?

Hakuna Rais ambaye atakubalika na Wananchi wote.Mwendazake jiwe aliharibu mitambo ya umeme kwa kuamrisha ifanye kazi bila matengenezo.
Aliharibu biashara na ajira nyingi sana kwa mtindo wake wa kupora maliza za wafanyabiashara na kuwabambikizia kesi.
Aliwatesa sana wakulima kwa kuzuia mazao yao yasiuze nje.
Aliwatesa sana wafanyakazi kwa kuwayima annual increment na nyongeza ya mishahara.
Alianziaha miradi mikubwa mingi isiyoenda na nyakati na isiyo na tija. Mfano;-
1. Ujenzi wa daraja la Busisi urefu km 3 kwenda kwa wakwe zake.
2. Ujenzi wa makao makuu Dodoma . Enzi za Nyerere kulikuwa na ulazima wa makao makuu kuwa katikati lkn haina maana ktk enzi hizi.
3. Aliwapunguza wafanyakazi wengi sana kwa sababu za kubumba kama vyeti feki, ajira hewa na upuuzi mwingine.
4. Ujenzi wa bawawa la Nyerere. Ktk zama hizi za mabadiliko ya tabia nchi ni ujuha kujenga mabwawa ya umeme. Kwasabb siyo ya kutumainiwa. Tulipaswa kuwekeza kwenye umeme wa upepo na jua.
Mamiradi haya na mengine yanamsumbua rais wa Sasa kuyamalizia ndiyo maana hata tozo imeanziahwa. Kuyapiga chini anaogopa mama wa watu.
Mama anahangaika kuufufu uchumi uliokuwa umeanguka na kuyamalizia haya mamiradi ndiyo maana shida haziishi.
Ila jiwe, Mungu amuongezee adhabu huko aliko.
Nashangaa mwamba tameer hajadislike.Mwendazake jiwe aliharibu mitambo ya umeme kwa kuamrisha ifanye kazi bila matengenezo.
Aliharibu biashara na ajira nyingi sana kwa mtindo wake wa kupora maliza za wafanyabiashara na kuwabambikizia kesi.
Aliwatesa sana wakulima kwa kuzuia mazao yao yasiuze nje.
Aliwatesa sana wafanyakazi kwa kuwayima annual increment na nyongeza ya mishahara.
Alianziaha miradi mikubwa mingi isiyoenda na nyakati na isiyo na tija. Mfano;-
1. Ujenzi wa daraja la Busisi urefu km 3 kwenda kwa wakwe zake.
2. Ujenzi wa makao makuu Dodoma . Enzi za Nyerere kulikuwa na ulazima wa makao makuu kuwa katikati lkn haina maana ktk enzi hizi.
3. Aliwapunguza wafanyakazi wengi sana kwa sababu za kubumba kama vyeti feki, ajira hewa na upuuzi mwingine.
4. Ujenzi wa bawawa la Nyerere. Ktk zama hizi za mabadiliko ya tabia nchi ni ujuha kujenga mabwawa ya umeme. Kwasabb siyo ya kutumainiwa. Tulipaswa kuwekeza kwenye umeme wa upepo na jua.
Mamiradi haya na mengine yanamsumbua rais wa Sasa kuyamalizia ndiyo maana hata tozo imeanziahwa. Kuyapiga chini anaogopa mama wa watu.
Mama anahangaika kuufufu uchumi uliokuwa umeanguka na kuyamalizia haya mamiradi ndiyo maana shida haziishi.
Ila jiwe, Mungu amuongezee adhabu huko aliko.
Hiyo mitambo mbona siyo ya kawaida .samia anashindwa nini iamrishwe ifsnye kazi kama mwenda zake aliwezaMwendazake jiwe aliharibu mitambo ya umeme kwa kuamrisha ifanye kazi bila matengenezo.
Aliharibu biashara na ajira nyingi sana kwa mtindo wake wa kupora maliza za wafanyabiashara na kuwabambikizia kesi.
Aliwatesa sana wakulima kwa kuzuia mazao yao yasiuze nje.
Aliwatesa sana wafanyakazi kwa kuwayima annual increment na nyongeza ya mishahara.
Alianziaha miradi mikubwa mingi isiyoenda na nyakati na isiyo na tija. Mfano;-
1. Ujenzi wa daraja la Busisi urefu km 3 kwenda kwa wakwe zake.
2. Ujenzi wa makao makuu Dodoma . Enzi za Nyerere kulikuwa na ulazima wa makao makuu kuwa katikati lkn haina maana ktk enzi hizi.
3. Aliwapunguza wafanyakazi wengi sana kwa sababu za kubumba kama vyeti feki, ajira hewa na upuuzi mwingine.
4. Ujenzi wa bawawa la Nyerere. Ktk zama hizi za mabadiliko ya tabia nchi ni ujuha kujenga mabwawa ya umeme. Kwasabb siyo ya kutumainiwa. Tulipaswa kuwekeza kwenye umeme wa upepo na jua.
Mamiradi haya na mengine yanamsumbua rais wa Sasa kuyamalizia ndiyo maana hata tozo imeanziahwa. Kuyapiga chini anaogopa mama wa watu.
Mama anahangaika kuufufu uchumi uliokuwa umeanguka na kuyamalizia haya mamiradi ndiyo maana shida haziishi.
Ila jiwe, Mungu amuongezee adhabu huko aliko.
Mtu ale alipwe hata bila kufanya kazi kwao ndo maisha na democracyKuna watu Afrika wanadhani kuwa demokrasia maana yake ni kuwabembeleza na kufaurahisha watu wote. kiongozi asipokufurahisha tu basi huyo ni dikteta na mharibifu.
MWENDAZAKE ni nani Hasa?Kwanza usimkosee adabu mzee Mwinyi. Mzee Mwinyi anaitwa Hayati.
Kwa taarifa yako watu waliofariki wako ktk makundi matatu.
1. Hayati....hawa ni watu wema walio maarufu.
2. Marehemu. Ni watu wa kawaida wanaozikwa kwa ubwabwa wa kupikwa na majirani.
3. Mwendazake. Ni mtu dhalili ama asiye na sifa nzuri kwa jamii kama ilivyo kwa jiwe.
Jiwe anaitwa mwendazake siyo kwa kuwa tu amefariki, bali ni kwasabb alikuwa hapendwi na jamii kwa matendo yake maovu
Mwendazake ni mtu wa hovyo, aliyekufa hovyo na kifo chake kushangiliwa na wengi; mfanoMWENDAZAKE ni nani Hasa?
Nilidhani unamaanisha Mzee Mwinyi.
Sometimes unakutana na Uzi hadi unajiuliza aliyeandika hapa ni mtu ama vipi! Sasa ulichokiandika hakuna hata pa Kuanzia kujadili maana ujinga Umeanza mwanzo kwa hiyo hamna point itakuja mbeleni bora kukaa kimya tu kukuacha na ujinga wako pengine una faida kwakoUkisoma uzi halafu ukaishia kutamani kutukana badala ya kujibu hoja za kwenye uzi ujue uzi huo umekuzidi akili
Dogo magu alikuingilia kipindi kirefu sana.Kwanza usimkosee adabu mzee Mwinyi. Mzee Mwinyi anaitwa Hayati.
Kwa taarifa yako watu waliofariki wako ktk makundi matatu.
1. Hayati....hawa ni watu wema walio maarufu.
2. Marehemu. Ni watu wa kawaida wanaozikwa kwa ubwabwa wa kupikwa na majirani.
3. Mwendazake. Ni mtu dhalili ama asiye na sifa nzuri kwa jamii kama ilivyo kwa jiwe.
Jiwe anaitwa mwendazake siyo kwa kuwa tu amefariki, bali ni kwasabb alikuwa hapendwi na jamii kwa matendo yake maovu
That is why you are shemale or LGBTQ+ to have your adversary view like this; frankly speaking, you are doomed, to say the least!!!Mwendazake jiwe aliharibu mitambo ya umeme kwa kuamrisha ifanye kazi bila matengenezo.
Aliharibu biashara na ajira nyingi sana kwa mtindo wake wa kupora maliza za wafanyabiashara na kuwabambikizia kesi.
Aliwatesa sana wakulima kwa kuzuia mazao yao yasiuze nje.
Aliwatesa sana wafanyakazi kwa kuwayima annual increment na nyongeza ya mishahara.
Alianziaha miradi mikubwa mingi isiyoenda na nyakati na isiyo na tija. Mfano;-
1. Ujenzi wa daraja la Busisi urefu km 3 kwenda kwa wakwe zake.
2. Ujenzi wa makao makuu Dodoma . Enzi za Nyerere kulikuwa na ulazima wa makao makuu kuwa katikati lkn haina maana ktk enzi hizi.
3. Aliwapunguza wafanyakazi wengi sana kwa sababu za kubumba kama vyeti feki, ajira hewa na upuuzi mwingine.
4. Ujenzi wa bawawa la Nyerere. Ktk zama hizi za mabadiliko ya tabia nchi ni ujuha kujenga mabwawa ya umeme. Kwasabb siyo ya kutumainiwa. Tulipaswa kuwekeza kwenye umeme wa upepo na jua.
Mamiradi haya na mengine yanamsumbua rais wa Sasa kuyamalizia ndiyo maana hata tozo imeanziahwa. Kuyapiga chini anaogopa mama wa watu.
Mama anahangaika kuufufu uchumi uliokuwa umeanguka na kuyamalizia haya mamiradi ndiyo maana shida haziishi.
Ila jiwe, Mungu amuongezee adhabu huko aliko.
Siyo kwamba ukiandika kioja kwa kiingereza ndiyo kitageuka kuwa hoja. Ni upuuzi tu, bora ungeandika kwa kiswahili .That is why you are shemale or LGBTQ+ to have your adversary view like this; frankly speaking, you are doomed, to say the least!!!
Ina maana kabla yake mitambo ilikuwa haijaharibika na umeme ulikuwa wa uhakika au sio?Mwendazake jiwe aliharibu mitambo ya umeme kwa kuamrisha ifanye kazi bila matengenezo.
Aliharibu biashara na ajira nyingi sana kwa mtindo wake wa kupora maliza za wafanyabiashara na kuwabambikizia kesi.
Aliwatesa sana wakulima kwa kuzuia mazao yao yasiuze nje.
Aliwatesa sana wafanyakazi kwa kuwayima annual increment na nyongeza ya mishahara.
Alianziaha miradi mikubwa mingi isiyoenda na nyakati na isiyo na tija. Mfano;-
1. Ujenzi wa daraja la Busisi urefu km 3 kwenda kwa wakwe zake.
2. Ujenzi wa makao makuu Dodoma . Enzi za Nyerere kulikuwa na ulazima wa makao makuu kuwa katikati lkn haina maana ktk enzi hizi.
3. Aliwapunguza wafanyakazi wengi sana kwa sababu za kubumba kama vyeti feki, ajira hewa na upuuzi mwingine.
4. Ujenzi wa bawawa la Nyerere. Ktk zama hizi za mabadiliko ya tabia nchi ni ujuha kujenga mabwawa ya umeme. Kwasabb siyo ya kutumainiwa. Tulipaswa kuwekeza kwenye umeme wa upepo na jua.
Mamiradi haya na mengine yanamsumbua rais wa Sasa kuyamalizia ndiyo maana hata tozo imeanziahwa. Kuyapiga chini anaogopa mama wa watu.
Mama anahangaika kuufufu uchumi uliokuwa umeanguka na kuyamalizia haya mamiradi ndiyo maana shida haziishi.
Ila jiwe, Mungu amuongezee adhabu huko aliko.
Muache jamaa apumzike kwa amani.Mwendazake jiwe aliharibu mitambo ya umeme kwa kuamrisha ifanye kazi bila matengenezo.
Aliharibu biashara na ajira nyingi sana kwa mtindo wake wa kupora maliza za wafanyabiashara na kuwabambikizia kesi.
Aliwatesa sana wakulima kwa kuzuia mazao yao yasiuze nje.
Aliwatesa sana wafanyakazi kwa kuwayima annual increment na nyongeza ya mishahara.
Alianziaha miradi mikubwa mingi isiyoenda na nyakati na isiyo na tija. Mfano;-
1. Ujenzi wa daraja la Busisi urefu km 3 kwenda kwa wakwe zake.
2. Ujenzi wa makao makuu Dodoma . Enzi za Nyerere kulikuwa na ulazima wa makao makuu kuwa katikati lkn haina maana ktk enzi hizi.
3. Aliwapunguza wafanyakazi wengi sana kwa sababu za kubumba kama vyeti feki, ajira hewa na upuuzi mwingine.
4. Ujenzi wa bawawa la Nyerere. Ktk zama hizi za mabadiliko ya tabia nchi ni ujuha kujenga mabwawa ya umeme. Kwasabb siyo ya kutumainiwa. Tulipaswa kuwekeza kwenye umeme wa upepo na jua.
Mamiradi haya na mengine yanamsumbua rais wa Sasa kuyamalizia ndiyo maana hata tozo imeanziahwa. Kuyapiga chini anaogopa mama wa watu.
Mama anahangaika kuufufu uchumi uliokuwa umeanguka na kuyamalizia haya mamiradi ndiyo maana shida haziishi.
Ila jiwe, Mungu amuongezee adhabu huko aliko.
Yeye aliwanyima amani watu waliokuwa hai, acha akose amani akiwa amekufaMuache jamaa apumzike kwa amani.
Tujuze wewe unayejua chanzo cha matatizo ya TanzaniaKwani matatizo yaliopo sasa Tanzania yalianzia kipindi Cha Magu🤔🤔 inaonekana hujui hata kidogo chanzo Cha matatizo ya Tanzania ni nini,
Uyu mwendazake uyu, apumzishwe anapostahili,Mwendazake jiwe aliharibu mitambo ya umeme kwa kuamrisha ifanye kazi bila matengenezo.