Shida sio kuvuja kwa Video za utupu wala shida sio kupost picha chafu mtandaoni,shida ni Hizi Smartphone

Inafikaga wakati nasemaga hizi simu za smart ziachwe na kila feature iliyoko ndani ya simu ila Watoe Kamera. Yaani simu ibaki na uwezo wa kufanya kila kitu ila itapofika mahali mtu akahitaji picha basi akanunue kamera dukani.

Nina uhakika mitandaoni patapoa na patakua na adabu maana ujinga ujinga wa hivi utapungua kwa kiasi kikubwa sana. Unakuta mtu hana hata haja ya kujipiga picha ila unamkuta anachezea chezea simu huku anatoa ulimi nje kama nyau ili tu aone ulimi wake unavyofanywa kama wa mbwa, aone kasura kake kamewekwa maua. Yaani mtu kakaa tu chumbani na simu ake anajishika shika 'k' anakata viuno huku anajichukua video yote sijui huwa ni kuwashwa sijui kwakweli.

Aseee haya ma smartphone yenye kamera ndiyo shida. Tatizo wazungu wametulisha upepo wa haki za binadamu (uhuru wa mtu) huo ndio ujinga mmoja utaoifanya hii dunia ifikie level za Sodoma na Gomora

Huu uhuru tunao upigia matarumbeta huu ndio utakuja ifanya Dunia igeuke Jehanamu. Smartphone ambazo zingetakiwa kutrend ni hizi:

View attachment 1236856View attachment 1236858

Sema fresh kwakua bado kuna watu watasema kila mtu atumie kitu anachotaka poa hamna shida

Ila nina uhakika mitandaoni saivi pamekua hatari kuliko miaka 10 iliyopita

Hii yote shida kaileta Tecno na mashost zake kina itel na infinix

IMAGINE 20yrs later WHAT NEXT
Hizi Tecno mbaya sana,kuna jamaa mfanya biashara maarufu na alwatani kwenye wilaya moja maarufu ya kulima ubweche (Chuma)kwenye wilaya ya mkoa anakotoka Mh Sugu,huyu jamaa alikuwa anavunja amri ya sita na mke wa mtu akajirekodi,kwa bahati mbaya akiwa anaoga nyumbani kwake akawa ameacha simu mezani,mke wake akaamua kuangalia,kutahamaki anamuona mume wake amejirekodi akisasambua na mke wa mtu ,na kibaya zaidi aliyekuwa anasasambuliwa nae alikuwa ni dada maarufu kiasi kwamba pale sokoni kila mtu anamjua yeye pamoja na mume wake ,alichokifanya mke wa jamaa yule ni kuforward ile video clip kwenye group yao ya wafanyabiashara wote wa pale mjini,halafu akairudisha simu na kukaa kimya.Ile clip ilienea kama moto wa nyika pale mjini wilayani Chuma(kwa kiswahili jina la wilaya hiyo humaanisha chuma).Jamaa hana hili wala lile kajitokea kwenda kwenye kijiwe chake cha biashara,ikawa kila akipita watu wanapiga miluzi ,jamaa akawa anajiuliza kuna nini ?ndipo akaambiwa kuna clip yake imevuja akifanya ngono na mke wa mwenzake ,ikawa ni aibu na dada yule wa kwenyeclip ikawa ndio mwisho wa ndoa kwa mume wake,Na kibaya zaidi sasa hali ya dada kimaisha imeshuka kwa kasi ya ajabu ni kama laana na pia jamaa aliyekuwa anaiba mke wa mtu nae hali yake kibiashara imekuwa ikisoma zero.
 
sasa ebu fikiria kulikua na haja gani jama kujirekodi?

ingetosha yeye kujilia vyake kisha akauchuna

ila akaona bila uthibitisho kua kamla kijiweni hawatomwelewa

Hilo jamaa ni bogas,na wengi wa dizaini hiyo ni wale wabahatisha papuchi kali

Anaona lazima ajiwekee ukumbusho

Hana tofauti na wale wenzangu na mimi wakienda nchi za watu lazima picha

Maisha flani ambayo watu hawajayazoea sasa imekua kama ushamba.

Lengo la picha ni kumbu kumbu ila siku hizi picha hazitumiki kama Kumbukumbu tena

Bali ni kuringishia wengine camera yangu ikoje,nyumbani kwangu kukoje,nipo wapi

Nimekula nini mchana leo,nimevaaje leo,natoka na nani,natombeka/tombwa na nani

Fuc.k fuc.k fuc.k fuc.k
 
Ndio akina Mwijaku wanayafanya hata sasa,utadhani ndio wamebalehe jana,kumbe ni mijitu mizima.
 
Back
Top Bottom