Kwa kweli mkuu hii Nchi ina laana ambayo ili ifutike lazima kizazi hiki kifutike haraka sana .Mimi naona bora tule ugali tu , yakitushinda tunaomba uraia wa nchi zinazotuvutia tu , dunia ni yetu sote mipaka ya mkoloni tu
Mkuu wewe pia ni moja kati ya Watanzania wanaojielewa. Sio hawa wanao Pinga Uzi bila hoja wanajibu kimazoea Sana Yani kiumbea umbea hawana hoja.Kama shida ni CCM kwa nini wana Nchi tusichukue maamuzi magumu au tupo kwa ule usemi NANI ATAMFUNGA PANYA KENGELE?
Kama ndugu na ndugu tu kuna visa vya wivu, kutoshikiriana na ujinga ujinga mwingi tu nan unategemea aje avunjwe makanyagio kisa kizazi kingine?Kwa kweli mkuu hii Nchi ina laana ambayo ili ifutike lazima kizazi hiki kifutike haraka sana .
Shida ni ccm yenyeweπ―Habari Wakuu.
Ukiwa makini utaelewa kwamba hapa Tanzania shida sio CCM shida ni Watanzania wenyewe (ambao wanaunda CCM).
Hivyo basi hata kama chama kingine kikiingia Madarakani shida na vilio vitakuwa ni vilevile tena inawezekana ikawa zaidi. WHY? kwasababu shida sio chama shida ni watanzania wenyewe.
Hao wana sumbuliwa na ubinafsi anaona kwa kua yeye utawala huu unampa unafuu bora apongeze,bila kujua leo unaweza kucheka kesho ukalia.Mkuu wewe pia ni moja kati ya Watanzania wanaojielewa. Sio hawa wanao Pinga Uzi bila hoja wanajibu kimazoea Sana Yani kiumbea umbea hawana hoja.
Akili nzima ya taifa imegeukia kwenye makalio ya huyu binti.
Unategemea mabadiriko chanya yapi? Wakati mbongo akili inawaza waza mavi mavi muda woteee
View attachment 3398214
Uwezi kusema tumekwama pakubwa kama taifa halafu uiondoe ccm kwenye lawama ni big no ccm ndio iliyo tufikisha hapa Kwa mazuri na mabaya yake.Habari Wakuu.
Ukiwa makini utaelewa kwamba hapa Tanzania shida sio CCM shida ni Watanzania wenyewe (ambao wanaunda CCM).
Hivyo basi hata kama chama kingine kikiingia Madarakani shida na vilio vitakuwa ni vilevile tena inawezekana ikawa zaidi. WHY? kwasababu shida sio chama shida ni watanzania wenyewe.
Mimi naona kama CCM hawatupi mateso ilitakiwa tupewe mateso makodi ya ajabu,hali iwe ngumu kweli kweli dadeki mpaka mtu akiwa njiani awe anaongea peke yake na kutoa ulimi nje kama MbwaππKama ndugu na ndugu tu kuna visa vya wifu kutoshikiriana na ujinga ujinga mwingi tu nan unategemea aje avunjwe makanyagio kisa kizazi kingine?
Tafiti zako umefanya Kwa wazee bila shaka rudia kufanya Kwa vijana halafu jibu Kaa nalo ata usilete hapa ila kuwa makini kwenye tafiti YakoMimi nachojua watz wengi wanakipenda chama cha mapinduzi, hasa watu waishio mijini hii ni kwa utafiti niliofanya. Atakayejaribu kunipinga ahakikishe naye amefanya utafiti kwani tafiti hupingwa kwa tafiti.
Mkuu,Habari Wakuu.
Ukiwa makini utaelewa kwamba hapa Tanzania shida sio CCM shida ni Watanzania wenyewe (ambao wanaunda CCM).
Hivyo basi hata kama chama kingine kikiingia Madarakani shida na vilio vitakuwa ni vilevile tena inawezekana ikawa zaidi. WHY? kwasababu shida sio chama shida ni watanzania wenyewe.
Inawezekana ndio Kwa wananchi awa kinachoitajika ni viongozi bora na wazalendo kabisa.Mkuu,
Miaka michache iliyopita, Tundu Lissu alifanya ziara Marekani. Akawa anatembelea jamii za Watanzania walioko Marekani. Akafanya mahojiano na rafiki yangu mmoja ana media company, online radio. Tundu Lissu haogopi challenge, akawa anachukua maswali ya watu, anayajibu.
Katika maswali yale, nilimuuliza swali. Nikamwambia kuwa nimemsoma muandishi nguli wa kutoka Peru anaitwa Mario Vargas Llosa, huyu alishinda nishani ya Nobel ya literature mwaka 2010. Mario Vargas Llosa (amefariki April 13 2025 akiwa na niaka 89) hakuwa muandishi tu. Alikuwa mtu maarufu sana Peru, akaingia mpaka kuwania urais wa Peru.
Sasa katika kitabu chake kinachoelezea maisha yake kinaitwa "A Fish Out of Water", Mario Vargas Llosa alielezea uzoefu wake katika siasa. Akasema siasa ukiiangalia kutika nje, kuisoma, kuiandika, ni tofauti kabisa na siasa unayoifanya mwenyewe in realpolitik.
Siasa ya kusoma, kuchambua na kuandika imejaa ushairi mwingi wa manifesto za kuboresha maisha ya watu, kupandisha elimu, kuongeza viwango vya maisha bora, kuongeza huduma za afya na mambo ya kupandisha uchuni, mambo ya falsafa za kuweka watu pamoja, na mengine mengi kama hayo.
Mario Vargas Llosa alisema kuwa siasa ya ukweli ngunguru ngangara ile ya realpolitik wachezaji wenyewe uwanjani inajali mambo mawili tu.
Kupata power, na ukishapata power, kuendelea kuwa kwenye power. Hayo mengine yote ni usanii tu.
Nikamwambia Tundu Lissu, kwanza asante sana kwa kazi nzuri mnayoifanya. Tunahitaji a strong alternative party. Lakini, kwa maneno haya ya Mario Vargas Llosa, tutaamini vioi CHADEMA mkipata power hamtatugeuka na kufanya yaleyale ya CCM au vibaya zaidi?
Tundu Lissu kwanza akayakubali kifalsafa maneno ya Mario Vargas Llosa, na akasema hiyo ndiyo sababu wananchi hawatakiwi kuwaachia viongozi tu waendeshe nchi. Wananchi wanatakiwa kuchujua ownership ya nchi yao na ku oarticipate kuhakikisha wana uongozi wenye transparency na integrity. Institutionally.
Bila ya hivyo hata CHADEMA hawatafauku mitego ya uongozi.
Sasa nikajiuliza, kwa wananchi hawa hawa Watanzania na elimu hii hii au itabidi tukodishe wananchi kutoka nje?
UNazungumzia kizazi Gani Cha kufutika ili mambo yakae sawa ?Kwa kweli mkuu hii Nchi ina laana ambayo ili ifutike lazima kizazi hiki kifutike haraka sana .
Viongozi wanatokana na wananchi. Yani uongozi unaanza kufundishwa tangu kwenye familia mtoto anavyokuzwa.Inawezekana ndio Kwa wananchi awa kinachoitajika ni viongozi bora na wazalendo kabisa.
Hongera Sana Mkuu pia nimefurahi Sana kuona wewe ni miongoni mwa-watu walio nielewa hoja yangu pamoja sana Mkuu. Ujue Watu wanalalamika tu kuhusu chama lakini shida sio chama shida ni jamii(Watanzania )hata kama chama kikibadirishwa.Mkuu,
Miaka michache iliyopita, Tundu Lissu alifanya ziara Marekani. Akawa anatembelea jamii za Watanzania walioko Marekani. Akafanya mahojiano na rafiki yangu mmoja ana media company, online radio. Tundu Lissu haogopi challenge, akawa anachukua maswali ya watu, anayajibu.
Katika maswali yale, nilimuuliza swali. Nikamwambia kuwa nimemsoma muandishi nguli wa kutoka Peru anaitwa Mario Vargas Llosa, huyu alishinda nishani ya Nobel ya literature mwaka 2010. Mario Vargas Llosa (amefariki April 13 2025 akiwa na niaka 89) hakuwa muandishi tu. Alikuwa mtu maarufu sana Peru, akaingia mpaka kuwania urais wa Peru.
Sasa katika kitabu chake kinachoelezea maisha yake kinaitwa "A Fish Out of Water", Mario Vargas Llosa alielezea uzoefu wake katika siasa. Akasema siasa ukiiangalia kutika nje, kuisoma, kuiandika, ni tofauti kabisa na siasa unayoifanya mwenyewe in realpolitik.
Siasa ya kusoma, kuchambua na kuandika imejaa ushairi mwingi wa manifesto za kuboresha maisha ya watu, kupandisha elimu, kuongeza viwango vya maisha bora, kuongeza huduma za afya na mambo ya kupandisha uchuni, mambo ya falsafa za kuweka watu pamoja, na mengine mengi kama hayo.
Mario Vargas Llosa alisema kuwa siasa ya ukweli ngunguru ngangara ile ya realpolitik wachezaji wenyewe uwanjani inajali mambo mawili tu.
Kupata power, na ukishapata power, kuendelea kuwa kwenye power. Hayo mengine yote ni usanii tu.
Nikamwambia Tundu Lissu, kwanza asante sana kwa kazi nzuri mnayoifanya. Tunahitaji a strong alternative party. Lakini, kwa maneno haya ya Mario Vargas Llosa, tutaamini vioi CHADEMA mkipata power hamtatugeuka na kufanya yaleyale ya CCM au vibaya zaidi?
Tundu Lissu kwanza akayakubali kifalsafa maneno ya Mario Vargas Llosa, na akasema hiyo ndiyo sababu wananchi hawatakiwi kuwaachia viongozi tu waendeshe nchi. Wananchi wanatakiwa kuchujua ownership ya nchi yao na ku oarticipate kuhakikisha wana uongozi wenye transparency na integrity. Institutionally.
Bila ya hivyo hata CHADEMA hawatafauku mitego ya uongozi.
Sasa nikajiuliza, kwa wananchi hawa hawa Watanzania na elimu hii hii au itabidi tukodishe wananchi kutoka nje?
Shida siyo watanzania shida ni MsogaHabari Wakuu.
Ukiwa makini utaelewa kwamba hapa Tanzania shida sio CCM shida ni Watanzania wenyewe (ambao wanaunda CCM).
Hivyo basi hata kama chama kingine kikiingia Madarakani shida na vilio vitakuwa ni vilevile tena inawezekana ikawa zaidi. WHY? kwasababu shida sio chama shida ni watanzania wenyewe.
Pia Kwa kuongezea Mkuu wananchi ambao tunawategemea kuwa viongozi sio wawajibikaji imeanzia kwenye ngazi za familia na kuendelea mpaka kwenye elimu za ngazi za juu.Viongozi wanatokana na wananchi. Yani uongozi unaanza kufundishwa tangu kwenye familia mtoto anavyokuzwa.
Sasa kama jamii imeharibika haifundishi watu uongozi tangu chini huku unategemeaje watajua uongozi bora wakiwa juu?
Yani mtoto unampiga makwenzi tu unam bully tangu mdogo, anajua ukiwa mkubwa ni haki yako kupiga wadogo zako, na yeye anasubiri awe mkubwa apige wadogo, siku huyu mtu akiwa rais unategemea atakuwa na heshima na uongozi wa kidemokrasia?
Si ndiyo ataona na yeye zamu yake ya kupiga watu imefika, kasubiri kwa utulivu sana sasa ana haki ya kupiga wenzake kama alivyopigwa yeye?
π€£πWe haupo sawa tafuta therapist
π πUmeona Mkuu watu wengi wanahitaji Msasa kwenye akili zao.
Naam,Hongera Sana Mkuu pia nimefurahi Sana kuona wewe ni miongoni mwa-watu walio nielewa hoja yangu pamoja sana Mkuu. Ujue Watu wanalalamika tu kuhusu chama lakini shida sio chama shida ni jamii(Watanzania )hata kama chama kikibadirishwa.
Pia Kwa kuongezea Mkuu wananchi ambao tunawategemea kuwa viongozi sio wawajibikaji imeanzia kwenye ngazi za familia na kuendelea mpaka kwenye elimu za ngazi za juu.
Mfano nitakupa kwa wanafunzi wa Vyuo vikuu "Lecture anaweza toa kazi Leo J"nne akasema nahitaji hii kazi J"nne ijayo asilimia 95% ya wanafunzi wataifanya siku ya kukusanya yani asubuhi ya j"nne na wengine watakusanya hawaja maliza ikiwa walipewa wiki nzima. Sasa hiyo ndiyo jamii tuliyo nayo Tanzania.