Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,166
- 103,461
Maji na matundu(achana na mashimo)ya vyoo CCM wamekwama.Je,kuweka hadi njia za watema mate wataweza?Kungekua na barabarani special kwa watu wa pikipiki, magari na waenda kwa miguu , ingepunguza , ndio manaa nikasema uendeshaji mbovu na miundo mbinu duni
Vijana wapewe elimuMaji na matundu(achana na mashimo)ya vyoo CCM wamekwama.Je,kuweka hadi njia za watema mate wataweza?
Elimu bure wanapewa ila wanatozwa michango mingi hadi inazidi waliosoma kwa gwala/Tsh.tano.Vijana wapewe elimu
Sahihi kabisa. Asilimia kubwa hawajaenda shule ya driving hivyo hizo alama na sheria za barabarani hawazizingatii kwakuwa hawazijui.Udereva: motorist wengi wanaendesha kihuni kwa kutozingatia alama yoyote ya barabarani. Pia wanafanya wana haraka kuliko watumiaji wengine wote wa barabara na wanataka wawe wa kwanza kana kwamba kuna mashindano.
Dharau kati ya motorist na drivers: wenye magari wanawaona motorists kama adui na kutojali uwepo wao barabarani.
Miundo mbinu: Barabara zetu nyingi ni nyembamba sana na hazina sehemu ya waendesha pikipiki na waenda kwa miguu, kama zipo basi zimejaa mashimo na ni nyembamba sana.
Madereva wengi wanajifunza udereva wa kuwasha, ingiza gia na kutembea bila kusoma alama za barabarani na tahadhari zingine muhimu.
Pombe na bangi pia vina mchango mkubwa katika ajali hizi.
Bodaboda ni kazi yaaa laaana nilisikia kutoka kwa mwanasiasa mmoja .Wasalaam.Pikipiki ni usafiri wa haraka na pia imetoa ajira kwa vijana na faida kibao. Haipiti mwezi bila kusikia kifo kilichosababishwa na piki piki.Shida ni nini?je ni asili ya piki piki au udereva au miundombinu?
Tukapande boda boda nikae nyuma yako ππ
umbwaa!Tukapande boda boda nikae nyuma yako ππ
Sawa nyauuu ππumbwaa!