Shida ni kubwa zaidi Afrika kwetu huku...Hata walioandika hapo juu, hawajaanda wosia!
Pia kwahali ya kimaadili ilivyo SASA, kuna hatari sana ya kuvuja kwa usiri wa contents za document ya WOSIA.
Ni dhairi kuwa hakuna binadamu ambaye uzaliwa na mali, hali kadhali, umauti unapomfika inakuwa ndio siku yake ya mwisho ya kumiliki mali alizozichuma hapa duniani. Kwa hali halisi, inaonekana kuwa matatizo yanayohusiana na mirathi yamekuwa yakiongezeka siku hadi siku hasa kutokana mambo yafuatayo:
ufanyeje sasa:[/B] tusiwe na mali, tusioe/kuolewa, tusizae, au tutafune mali zetu zoote kabla umauti haujatufika??[/SIZE][/FONT]
Andika Wosia... ni muhimu sana
Swali lako la mwisho bwana ngoshwe limeniacha hoi
Tukitafuna mali zetu itakuwaje kwa wale wanaoacha kama una mke/mme/watoto wadogo ambao hawajaanza kujitegemea..\
Nachoona sio sahihi kwa mtu mwenye uweze wa kujitegemea kutolea macho urithi usiomuhusu..
Swala la msingi ni Wosia uwepo kwani hatujui siku wala saa ...
mmhhhhhhh!
Nadhani Rita wanasaidia hili la wosia mwenye taarifa atujulisha zaidi
kiswahili sahiho ni suluhisho na sio suruhishoNi kweli wosia ndio suruhisho pekee ..unafunga midomo ya watu...
kiswahili sahiho ni suluhisho na sio suruhisho
Rita ndio nini ? jina la mtu au Ng'os