Shida madrasa au bahari??

Mleta mada wewe ni mpuuzi sana wakati wa Magufuli aliwajaza wasukuma kila kona na pia aliwajaza ndugu zake kwenye serikali yake acha udini na ujinga wako hapa
Mada ni wasukuma au Rais na ukoo/watoto wake?
Kunywa maji bariidi kwanza chief ndipo uchangie mada
 
Hili ni povu kwakweli
 
Watu wa hii dini hawafai kupatiwa madaraka kabisa
Nyerere hakuiba kaongoza kitakatifu?.
Mkapa alie toa mali ya Serikali na kuzi binafsisha na kununua share za bandari na kujimilikisha migodi 3 alikuwa msafi nae?.
Magufuli alie kutwa na na millions za dollars kwake na kujenga Chato kwa mali ya serikali nae msafi pia?. Usiwe na chuki na dini kwa kosa la mumini wa hio dini.
 
Ndugu kenya wametuzidi uchumi kwa sababu hawajawahi kuwa na Rais mwislamu. Leta nchi ya afrika ya watu weusi ya kiislamu yenye maendeleo. Unang'ng'ana na dini ambayo haijawahi kujenga shule,hospitali, taasisi wala chuo katika nchi yako.
 
Ndugu kenya wametuzidi uchumi kwa sababu hawajawahi kuwa na Rais mwislamu. Leta nchi ya afrika ya watu weusi ya kiislamu yenye maendeleo. Unang'ng'ana na dini ambayo haijawahi kujenga shule,hospitali, taasisi wala chuo katika nchi yako.
Kwahio Kenya Uganda na Congo Zina maendeleo kuliko Tanzania au Somali?.🤣
 
Kwahio Kenya Uganda na Congo Zina maendeleo kuliko Tanzania au Somali?.🤣
Wsomali wangekuwa na hela wangekimbilia kenya? Wanamshukuru RUTO amewarahisishia kupata ID card ya mwananchi.

Nimetolea mfano kenya na Tanzania kama unabisha niletee nchi ya waislamu weusi yenye maendeleo. WAarabu hawawezi kujenga hata hospitali kwa sababu nyie ni watumwa. Kuna system inaitwa kafala inatumika uarabuni kote.
 
Wagalatia mna roho mbaya za kichoyo mpk kwa familia zenu. Sasa wivu wa nini
 
Tuachane na udini bali tujikite katika uadilifu wa mtu akiwa katika kiti cha uongozi. Profesa Asad ni dini gani vipi kuhusu uadilifu wake?
 
Inawezekana wakristo wanachelewa kuzaa Sana, mpaka wanamaliza utawala, watoto wao wako mashuleni

Ila waislam wanazaa mapema so, Baba au mama akishika madaraka basi mtoto anakuwepo pembeni
 
ukikaa kwa kutulia utajua kuwa waislamu ndio waharibifu wakubwa sana wa hili taifa hawa hawapaswi tena kupewa madaraka kwa sasa hadi wakristo waitengeneze nchi kwanza hata kwa maiaka 20, awamu zote za waislam ndizo awamu zenye uchafu wa kila aina na hasa wizi na ubinafsi, hawa walijaaliwa kukata mauno tuu.
 
wagalatia bana, halafu utawasikia wanataka waungwe mkono kwenye harakati zao huku hao wanawataka wawaunge mkono haweshi kuwatukana kila kukicha
 
Shida Elimu mbalimbali😂😂
 
Kuna harufu ya udini hapa na mimi sina dini ngoja nichek mpambano wa wenye dini.
poor me!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…