pet geo pet
JF-Expert Member
- Jun 30, 2018
- 516
- 815
Magufuli mtoe alijaza wasukuma mpaka mama kamuiga kajaza wazanzibari kila wilaya ya bara. Alimweka binamu wake Biteko katika baraza la uwaziri.UTAWALA WA NYERERE.
•Hapakuwepo na mtoto wake mahala popote kisa Baba ni raisi.
UTAWALA WA MWINYI
•Watoto wote walikuwemo kwenye system, hadi watoto wa ndugu n.k
UTAWALA WA MKAPA
•Hakuna mtoto wake alisikika popote akifanya lolote kwa mgongo wa uraisi wa babake.
UTAWALA WA KIKWETE
•Miraji na Rizwani walitamba sana wakati wa babao, upendeleo mwingi n.k
UTAWALA WA MAGUFULI
•Hakuna mtoto wake aliekuwepo kwenye system, Huyu Jesca sote tunajua ni mama anambeba.
UTAWALA WA SAMIA
•ABDUL anatunyoosha nje ndani, majumba Dubai, magari ya mabilioni, vigae vya bilioni 2 n.k
Sijui nataka kusema nini, 😎😎😎
Usisahau waislamu wanawauzia nchi waarabu,wahindi na sasa wachina. Nimefanya biashara na waarabu na wahindi wanafurahi sana rais akiwa muislamu. Hata Rostam aquisition yake kenya imefeli kwa sababu sio mtu mweusi. Kenya dili kubwa za rasilimali au ardhi lazima anayefaidi awe mweusi.UTAWALA WA NYERERE.
•Hapakuwepo na mtoto wake mahala popote kisa Baba ni raisi.
UTAWALA WA MWINYI
•Watoto wote walikuwemo kwenye system, hadi watoto wa ndugu n.k
UTAWALA WA MKAPA
•Hakuna mtoto wake alisikika popote akifanya lolote kwa mgongo wa uraisi wa babake.
UTAWALA WA KIKWETE
•Miraji na Rizwani walitamba sana wakati wa babao, upendeleo mwingi n.k
UTAWALA WA MAGUFULI
•Hakuna mtoto wake aliekuwepo kwenye system, Huyu Jesca sote tunajua ni mama anambeba.
UTAWALA WA SAMIA
•ABDUL anatunyoosha nje ndani, majumba Dubai, magari ya mabilioni, vigae vya bilioni 2 n.k
Sijui nataka kusema nini, 😎😎😎
Mkapa??🤭UTAWALA WA MKAPA
•Hakuna mtoto wake alisikika popote akifanya lolote kwa mgongo wa uraisi wa babake.
Inashangaza! Kwamba madrassa ndiyo wanafundiaha watu wawe wezi wa mali ya umma? Acha ujinga wako hapaUTAWALA WA NYERERE.
•Hapakuwepo na mtoto wake mahala popote kisa Baba ni raisi.
UTAWALA WA MWINYI
•Watoto wote walikuwemo kwenye system, hadi watoto wa ndugu n.k
UTAWALA WA MKAPA
•Hakuna mtoto wake alisikika popote akifanya lolote kwa mgongo wa uraisi wa babake.
UTAWALA WA KIKWETE
•Miraji na Rizwani walitamba sana wakati wa babao, upendeleo mwingi n.k
UTAWALA WA MAGUFULI
•Hakuna mtoto wake aliekuwepo kwenye system, Huyu Jesca sote tunajua ni mama anambeba.
UTAWALA WA SAMIA
•ABDUL anatunyoosha nje ndani, majumba Dubai, magari ya mabilioni, vigae vya bilioni 2 n.k
Sijui nataka kusema nini, 😎😎😎
Magufuli alikuwa Rais wa nchi wote kilichotokea tulishuhudia acha udini na chuki zako za kidini mjinga weweWatu wa hii dini hawafai kupatiwa madaraka kabisa
Achae kuingia kwenye udini wako wa kipuuzi weweUsultani mwingi sana kwa hao jamaa zetu.
Mkuu ndiyo maana siku hizi jamii forum naiona upuuzi tu kutokana na aina mada ambazo zipo humu udini,udini na udini hii inchi ina watu wapumbavu sana ambao kutwa kuwaza udini hasa kuutukana uislamuSema hicho hicho unachotaka kusema, japo binafsi yangu nitakuona mpumbavu..
Je hakuna viongozi waislam ambao hawajafanyq ulafi?
Je hawa waislam ni kweli dini yao inaelekeza wawe washenzi ama ushenzi ni wa kwao binafsi?
Je mafisadi wote duniani ni waislam?
Kina biya wa congo, nguema, museven na wengineo.
Watanzania inapaswa kuwa kitu kimoja kupinga huu unyama na udhalimu unaoendelea.
Tukifanya masihara, watatumaliza hawa, kisa tumejigawa kwa udini.
Nakumbuka story ya darasa la ngapi sijui ile simba alipata tabu kula kikundi cha ng'ombe, akatumia plan b aliwachonganisha ng'ombe ndio akawala kiurahisi
Hivi unaujua uislamu? Acha ushenzi wewe kaa chini uusome uislamu Tabia binafsi ya mtu uinaingiza uislamu?Usisahau waislamu wanawauzia nchi waarabu,wahindi na sasa wachina. Nimefanya biashara na waarabu na wahindi wanafurahi sana rais akiwa muislamu. Hata Rostam aquisition yake kenya imefeli kwa sababu sio mtu mweusi. Kenya dili kubwa za rasilimali au ardhi lazima anayefaidi awe mweusi.
Mleta mada wewe ni mpuuzi sana wakati wa Magufuli aliwajaza wasukuma kila kona na pia aliwajaza ndugu zake kwenye serikali yake acha udini na ujinga wako hapaUTAWALA WA NYERERE.