Mbarikiwa Mollel
JF-Expert Member
- Jan 13, 2015
- 241
- 50
Habari za kutunga hizi.
Weka chanzo?
Ameyasema lini na WAPI?
Alikuwa anaongea / juhojiwa na nani?
Weka mahojiano hayo yakiwa katika sauti!
mwiba mwingine kwa CHADEMA.
Mbona alishatangaza mwenyewe kujitoa CHADEMA sasa vipi anaomba kufukuzwa?Mfukuzeni badala ya kumtukana. Yeye hajawatukana kawapa za uso.
BAVICHA karibuni muonyeshe umahiri wenu wa kutukana.