ili balaa gani kati ya zito na lema,
duh mbona mapema au mkuu umechakachua hii kitu,
kuna haja ya kuwa makini na kutumia busara, kama haya yanatokea
chama kiko hatarini na hekima ya wazee inatakiwa kukinusuru chama,
na kanuni za chama zinatakiwa kufuatwa, ili zinapokosewa kuna haja ya kuongea kwa kuheshimiana
ila hii habari yako ninaifanyia uchunguzi kama ina ukweli,
Ujumbe wako unachonganisha watu, wabunge, na wana CDM!! hoja haikukaa vizuri. Ungeishia kusema kuwa Kamati kuu imemuengua shibuda na kumuweka fulani kwa sababu fulani; badala ya kuleta malumbano ya vikaoni ambayo hayana tija na hayaendani na hitimisho la hoja yako uliyoleta. Kwa msingi huo, naiona hoja yako imekaa kimajungu majungu tu NA INALENGO LA KUBOMOA CDM!!!
mkuu ni kweli kabisa aliyenena hapo juu yupo sahihi, leo nusura lema na zitto zipigwe pale lema alipo mwambia zitto ukweli kuwa aache kutumiwa na hata kaa afanikiwe kwenye mipango yake hiyo na kuwaacha wajumbe wote midomo wazi kila mmoja akishangaa kijana lema asivyo mumunya maneno na kuamua kumtolea uvivu zitto
ili balaa gani kati ya zito na lema,
duh mbona mapema au mkuu umechakachua hii kitu,
kuna haja ya kuwa makini na kutumia busara, kama haya yanatokea
chama kiko hatarini na hekima ya wazee inatakiwa kukinusuru chama,
na kanuni za chama zinatakiwa kufuatwa, ili zinapokosewa kuna haja ya kuongea kwa kuheshimiana
ila hii habari yako ninaifanyia uchunguzi kama ina ukweli,
Alitumia uhuru wa kutoa mawazo yake hivyo si vema kulaamu, mbona ya CCM huwa inaandikwa kwa utaratibu kama huu na kujadiliwa tena kwa kicheko.Ujumbe wako unachonganisha watu, wabunge, na wana CDM!! hoja haikukaa vizuri. Ungeishia kusema kuwa Kamati kuu imemuengua shibuda na kumuweka fulani kwa sababu fulani; badala ya kuleta malumbano ya vikaoni ambayo hayana tija na hayaendani na hitimisho la hoja yako uliyoleta. Kwa msingi huo, naiona hoja yako imekaa kimajungu majungu tu NA INALENGO LA KUBOMOA CDM!!!
Too much exaggretion achambue lakini asivunje katiba ya chama kwa malengo binafsi.Alitumia uhuru wa kutoa mawazo yake hivyo si vema kulaamu, mbona ya CCM huwa inaandikwa kwa utaratibu kama huu na kujadiliwa tena kwa kicheko.
Kikubwa ninahokiona ni kwamba ndani ya Chadema kuna watu wanajiona wao ndiyo wao na baadhi ya wengine kila wakisemaau kufanya kitu wanaonekana kama wasaliti / wamekosea kama ambavyo comrade Zitto anavyoandamwa na hasa kwa kuwa kwa kiasi fulani haelewani na Slaa na Mbowe kifikra, maana Zitto ana vision kubwa hivyo anaangalia na kuchambua mambo kwa mtazamo wa hali ya juu na kuona miaka kumi mpaka ishirini ijayo.
Alitumia uhuru wa kutoa mawazo yake hivyo si vema kulaamu, mbona ya CCM huwa inaandikwa kwa utaratibu kama huu na kujadiliwa tena kwa kicheko.
Kikubwa ninahokiona ni kwamba ndani ya Chadema kuna watu wanajiona wao ndiyo wao na baadhi ya wengine kila wakisemaau kufanya kitu wanaonekana kama wasaliti / wamekosea kama ambavyo comrade Zitto anavyoandamwa na hasa kwa kuwa kwa kiasi fulani haelewani na Slaa na Mbowe kifikra, maana Zitto ana vision kubwa hivyo anaangalia na kuchambua mambo kwa mtazamo wa hali ya juu na kuona miaka kumi mpaka ishirini ijayo.
Alitumia uhuru wa kutoa mawazo yake hivyo si vema kulaamu, mbona ya CCM huwa inaandikwa kwa utaratibu kama huu na kujadiliwa tena kwa kicheko.
Kikubwa ninahokiona ni kwamba ndani ya Chadema kuna watu wanajiona wao ndiyo wao na baadhi ya wengine kila wakisemaau kufanya kitu wanaonekana kama wasaliti / wamekosea kama ambavyo comrade Zitto anavyoandamwa na hasa kwa kuwa kwa kiasi fulani haelewani na Slaa na Mbowe kifikra, maana Zitto ana vision kubwa hivyo anaangalia na kuchambua mambo kwa mtazamo wa hali ya juu na kuona miaka kumi mpaka ishirini ijayo.
Ujumbe wako unachonganisha watu, wabunge, na wana CDM!! hoja haikukaa vizuri. Ungeishia kusema kuwa Kamati kuu imemuengua shibuda na kumuweka fulani kwa sababu fulani; badala ya kuleta malumbano ya vikaoni ambayo hayana tija na hayaendani na hitimisho la hoja yako uliyoleta. Kwa msingi huo, naiona hoja yako imekaa kimajungu majungu tu NA INALENGO LA KUBOMOA CDM!!!
Tujuzeni yaliyojiri baada ya Zitto na Lema kutoleana uvivu! Kuna hatua zozote zilizochukuliwa?