Shibuda kuwakilisha Bunge APRM

Shibuda kuwakilisha Bunge APRM

artist

Member
Joined
May 13, 2009
Posts
64
Reaction score
9
Mbunge wa Maswa, John Magare Shibuda amepitishwa rasmi na Bunge kuwa mwakilishi wa Bunge katika taasisi ya Umoja wa Afrika inayotathmini mambo ya utawala bora (African Peer Review Mechanism) APRM tawi la Tanzania ambalo liko chini ya Wizara ya Mambo ya Nje.

Je, atasaidia kusukuma mbele agenda ya utawala bora kwa mashairi na nahau tamu?Tusubiri tuone.
 
Shekhe wa Pwani rudia kusoma post. Nimeweka taarifa na kuuliza swali la kuchagiza mjadala, hayo ya wivu ya wapi tena????Du kweli hii ndo Bongo.

Nionavyo APRM kama itamtumia vyema taasisi hiyo itaweza kusikika na kupaza sauti yake kuhusu utawala bora nchini.Nahau na mashairi ni mbinu muhimu katika kufikisha ujumbe
 
ataghani nyimbo tamu kwa wazungu wa kiafrika
 
huyu bw. mbali ya mashairi yake na nahau lakini ni mthubutu na mtetezi mkuu ataweza hasaaaaa!!!!!!!
 
TUNATAKA MCHAKATO WA KATIBA MPYA NA TUME HURU
YA UCHAGUZI BUNGENI SASA HIVI!!!


Enyi Ndugu Waheshimiwa viongozi wetu

akina Kikwete, Dr Slaa, Prof Lipumba, Mbowe, Julius Mtatiro, Zitto Kabwe, Mbatia, Dr Mvungi, Prof Baregu, Prof Mukandala, Dr Bana, Dr Azaveli, Mama Nkya, Ndg Mgaya, Makwaia wa Kuhenga, Jenerali Ulimwengu, Reginald Mengi, Pius Msekwa, Fredrick Sumaye Fredrick Msuya, John Malecela, Mama Anna Makinda, Sheik Issa Bin Simba, Mhe Iddi Simba, Maaskofu na Wachungaji wote nchini, Denis Mwamnyange, Said Mwema, The Othma's, Tundu Lissu, Sitta, Mwakyembe, Mzee Mkapa, Mzee Salim Ahmed Salim, Mzee Sinde Warioba, Mzee Butiku, Prof Sarungi, Selasini, Ole Sendeka, Tido Mhando, Mama Maria Nyerere, Mama Karume, Selelii, Prof Bangu, Dr Matumaini, Bashe, Celina Kombani, Kafulila, Hamad Rashid, Regia, Lukuvi, Mama Maghimbi,Mama Anna Abdala, Pombe Magufuli, Mstaarabu wa Siasa Tanzania - Dr Mohammed Shein, Salmin Amour, Godbless Lema, Mzee Mwanakijiji, Maxence Melo, Candid Scope, Fareed, Mwakalebela, Mnyika, Halima Mdee, viongozi wote wa serikali za wanafunzi vyuoni ... na wengine wengi wengi wengi tu, sisi kama vijana wa nchi hii sasa hivi tunawaulizeni nyote kwa pamoja kwamba ...

... suala letu la michakato wa kujiandikia KATIBA MPYA na kuunda Tume Huru ya Uchaguzi ZINAANZA LINI BUNGENI???
 
Back
Top Bottom