Shibuda kugombea uenyekiti CHADEMA

[h=6]Ukweli ni siri kubwa kama ilivyo siri ya kifo kwa mtu, anaejua ni Mungu pekee, ila tofauti kati ya usiri wa ukweli na kifo ni kuwa ukweli anaujua Mungu na mtu anaeusema, ila siku ya kifo anaijua Mungu pekee. Nyakarungu 2012[/h]
 

Mu-Israel: Na kwa kuongezea haiwezekani chama chochote kikawa na kiongozi/viongozi wanaoelea wasiotokana na kanda!! This is impossible!!! Wanaochochea eti CDM ni chama cha kikanda, waonyeshe vielelezo vya kudhihirisha hilo. Ikiwa viongozi wa CDM walichaguliwa kulingana na katiba inavyotaka tatizo ni nini?
 
Nimezipata kutoka ndani ya CHADEMA, sasa kuna mtafaruku unaendelea ndani ya CHADEMA baada ya mkakati wa mbunge wa maswa bwana Shibuda kutaka kugombea uenyekiti akipigiwa kampeni na kambi ya Zitto Kabwe

CDM sio kama CCM lete chanzo kwanza ili tukuamini.
 
Kanda ya Kaskazini? Kwani Mwanza Musoma ziko kusini? Nadhani Geografia haikusomwa hapo? Mi nadhani kuna watanzania wamechoka kufikiri? kwani Shibuda kugombea ni shida. Unapokuta mtu anazuia mwingine kufikiri ni kitu cha ajabu sana. Na cha ajabu tunaongelea watu ah! huyu wa kaskazini. Ni ulize swali moja hakuna Msukuma aliyewahi kuoa mchaga? Kama si kuoa hatuna marafiki wa kike na wakiume kutoka kaskazini. Kwa nini ikifika siasa tunasema huyu wa kaskazini? Je? tunaopenda ulabu wamiliki wengi wa baa wanatoka wapi? Je hatunywi ulabu? kuna TV Je tunaangalia zilizoasisiwa na watu wa tunakotoka? ukijiuliza haya maswali ya kawaida tu, tutaona kuwa hatuvitendei haki akili zetu, bali midomo na vidole vinaandika kwa hisia tu.
 

We ni kiongozi ni busara kujiepusha na comments zinazotokana na uvumi.Je ikibainika kuwa habari hii haina ukweli,mtaweza kufanya kazi za kichama na mbunge wako wakati umemrarua mtandaoni?
 
yaani eti mwenyewe kakunja ngumi kama zile za wanamapinduzi....anadhalilisha hiyo maana ....
 
Uenyekiti wa TAWI ama TAIFA? Huyu mbaba ni ndumila kuwili, kale kamdomo kake kapo kimipasho sana!
 
Nimezipata kutoka ndani ya CHADEMA, sasa kuna mtafaruku unaendelea ndani ya CHADEMA baada ya mkakati wa mbunge wa maswa bwana Shibuda kutaka kugombea uenyekiti akipigiwa kampeni na kambi ya Zitto Kabwe

Ccm ooooyeeeeeee!
 
kazi kweli kweli.. hivi shibda hana faili milembe?
 
Upuuzi mtupu Chama chetu makini sana hakiwezi kuongozwa na mpuuzi kama Shibuda. Anafaa kuongoza CCM kwani ukimlinganisha na mwenyekiti wa CCM Shibuda zaidi
 
Nimezipata kutoka ndani ya CHADEMA, sasa kuna mtafaruku unaendelea ndani ya CHADEMA baada ya mkakati wa mbunge wa maswa bwana Shibuda kutaka kugombea uenyekiti akipigiwa kampeni na kambi ya Zitto Kabwe

bado kidogo tutaambiwa JK naye mbioni kuchukua urais kupitia CDM 2020
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…