Abuu- Amin
Member
- Aug 5, 2012
- 88
- 21
Kwani shibuda hatakiwi kugombea uenyeketi? Kwani na uenyeketi ni wa watu flan tu from moshi.Mnyantuzu kwa kawaida ni mjanja na tapeli..................... Anataka kuvuta pesa ya CCM huyu........... Mark my words!!
Kama kweli wako na Zito then wanataka kuua chama............J ila sidhani kama watafanikiwa kwa hilo.
nimezipata kutoka ndani ya chadema, sasa kuna mtafaruku unaendelea ndani ya chadema baada ya mkakati wa mbunge wa maswa bw shibuda kutaka kugombea uenyekiti akipigiwa kampeni na kambi ya zitto kabwe

mh kwani kule si mwenyekiti tayari au kiti kinayumba?Akagombee uenyekiti wa kuongoza nyumba yake na mke wake
Kwani shibuda hatakiwi kugombea uenyeketi? Kwani na uenyeketi ni wa watu flan tu from moshi.
Msituretee hayo mambo hapa. Shibuda ana rights za kutosha
Sasa hapa chadema ndo mtatuonesha hii demokrasia ya kweli sasa au mtudhihirishie kwamba hili chama la wakilimanjaro.nimezipata kutoka ndani ya chadema, sasa kuna mtafaruku unaendelea ndani ya chadema baada ya mkakati wa mbunge wa maswa bw shibuda kutaka kugombea uenyekiti akipigiwa kampeni na kambi ya zitto kabwe
kura atazipata wapi?
nimezipata kutoka ndani ya chadema, sasa kuna mtafaruku unaendelea ndani ya chadema baada ya mkakati wa mbunge wa maswa bw shibuda kutaka kugombea uenyekiti akipigiwa kampeni na kambi ya zitto kabwe
Na nyie imarisheni UDP ambacho ni maarufu Bariadi, Old Maswa, Somanda ya Ntunzu, Bupandagila huenda mkajenga ghorofa (sio gorofa kama ulivyoandika) kama la bank kuu
Akagombee uenyekiti wa kuongoza nyumba yake na mke wake
Nimezipata kutoka ndani ya CHADEMA, sasa kuna mtafaruku unaendelea ndani ya CHADEMA baada ya mkakati wa mbunge wa maswa bwana Shibuda kutaka kugombea uenyekiti akipigiwa kampeni na kambi ya Zitto Kabwe