Hii kadhia ya Shibuda ni rahisi sana kumalizwa na wala hahitaji uongozi wa juu wa CHADEMA kunyanyua mkono. BAVICHA wamtangaze SHIBUDA kuwa ni enemy of the M4C. Basi. Kila mahali akienda watu wamwambie wewe ni enemy.
sikubaliani na shibuda ila napinga kufukuzwa//////mpuuzen////wekeni watu wa chini wamshughulikie kisiasa///viongozi wa kitaifa wa cdm wasijibishane naye////jimboni mwaketafuten watu compitent...waandaen//kuchukua jimbo///tambo za shibuda ni mizizi yake jimbon////mkienda naye papara kwa siasa za mihemko.///atawaacha majeruhi,,,,atavuruga chama//mnampa umaarufu////katumwa huyo//mtaona atatangaza hata bungen kugombea urais kupitia chadema/////kuwachanganya watu na kubadili upepo//////:spy:Huyu dawa yake piga chini mjinga kweli huyu jamaa kama aliona ccm inafaa kwa nini aliondoka kuja upinzani? Hakuna haja ya kumjadili ni kumtimua tu yeye c bora kuliko chama!
zumbemkuu nadhani sasa inatosha hata wale tuliokuwa na uvumilivu kwake sasa tunasema imetosha.tangu mwanzo CDM wamemlea sana huyu mtu, ngoja azidi kuwatesa.
Chezea Shibuda Wewe,huyu Gamba Katumwa Kuja Kukivuruga CDM,so CDM wasipo kuwa makini inakula kwao
Shibuda amejidhihirisha pasi na shaka kwamba ni kirusi cha gamba ndani ya chadema, kufukuzwa kwake ndio unafuu kwa mustakabali wa chama.
CCM hakuondoka alitumwa mahsusi kuja kuichafua CDM ndio maana unaona bado anahudhuria vikao vy cc na nec ya ccm kwenda kutoa ripoti,.anachokifanya Shibuda ni kutafuta kwa makusudi malumbano na migogoro ndani ya CDM ili CDM iondoe focus kwenye M4C na inaelekea kuna mapandikizi wengine ndani ya cdm wanasubiri mgogoro uanze wakipasue chama viongozi na wana cdm wote suala la shibuda lichukuliwe kwa tahadhari kubwa mno maana ni mtego!Sasa kama aliona CCM ifaa kwanini aliondoka,walimtosa kwa ajili ya mambo yake ya ukinyonga na tamaa ya madaraka,tafadhali fukuzeni huyo mtu haraka sana ili arudi CCM anakoona kufaa na wakimtosa huko basi 2015 awe mgombea binafsi wa uraisi