Nahakika humjui Shibuda na wananchi wake, kwa taarifa tu wananchi wa maswa hawachagui chama wanachagua mtu, hivyo basi wanao mchagua wanamjua vizuri kuliko wewe unayemona hafai, tujifunze kukubali tofauti zetu za mitazao
mpumbavu ukimtwanga kinuni pamoja na ngano, upumbavu wake haumtoki, ndugu promo si mahala pake hapa!!!!!Nashindwa kuona ujinga hapo, niliposema kipenzi cha wengi nilimaanisha wapo wanaompenda tena kwa ushahidi, Mbowe na viongozi wa CDM walipoenda shinyanga waliambiwa wazi kwenye mkutano kuwa watu washinyanga wanampenda Shibuda naye Mbowe alisema pia katika chama nao wanampenda. Sio sababu za kutumia maneno mjinga, mpumbavu, mpuuzi kwa mwana jamvi mwenzako eti kwa sababu tu mnatofautiana mawazo.
Hapatoshi hapa......Ndio maana hakuna digrii ya ubunge wala sifa maalum za mbunge..........Jua kusoma na Kuandika ki-formfour inatosha. Watakuja kuchagua chizi wanayemfahamu..... Miaka 50 tunasonga mbele.
Nashindwa kuona ujinga hapo, niliposema kipenzi cha wengi nilimaanisha wapo wanaompenda tena kwa ushahidi, Mbowe na viongozi wa CDM walipoenda shinyanga waliambiwa wazi kwenye mkutano kuwa watu washinyanga wanampenda Shibuda naye Mbowe alisema pia katika chama nao wanampenda. Sio sababu za kutumia maneno mjinga, mpumbavu, mpuuzi kwa mwana jamvi mwenzako eti kwa sababu tu mnatofautiana mawazo.
mpumbavu ukimtwanga kinuni pamoja na ngano, upumbavu wake haumtoki, ndugu promo si mahala pake hapa!!!!!
Ubunge wa mbunge utakoma endapo atakuwa siyo mwanachama wa chama chochote kile kilicho na usajili wa kudumu. Hapa shibuda akiporwa kadi ya uanachama wa chadema ama akirudisha anakosa sifa ya kuwa mbunge.sheria hiyo ipo wala haihitaji chadema kupeleka swala hilo mahakamani. Labda shibuda aende mahakamani kupinga kuporwa uanachama wake. Hapo ndipo kesi itasikulizwa na siyo chadema kwenda mahakamani kumshitaki shibuda.Hivi mahakama inaangalia ni kosa gani au inathibitisha kosa kwa sababu linaweza kuwa kosa kwa CCM lisiwe kosa kwa CDM inategemea katiba zao.
Sijasema wewe mjinga, ninachosema tunashabikia ujinga, na ndio chanzo cha matatizo tuliyo nayo. tunaletewa ujinga tunashangilia bila kutumia akili zetu kuchuja. Inaingia akilini kweli mtu anataka posho iongezwe bado unamwita kipenzi huyu. Kama sio tuna mtindio wa ubongo ni nini basi.
Inabidi tutumie akili zetu, sio tu mtu analeta upupu na ujinga wake anaupaka sukari wa kipenzi cha wengi tunakenua menu yote.
CDM achaneni na kufukuzana badala yake simameni pamoja mjiandae na uchaguzi mdogo wa Igunga. Campaign manager wa mgombea wa CDM awe Mh. Shibuda
mkuu hata mimi huyu ngosha.anamisemo utazania ******,du!atufaiiiiii uwiiiiii simttaki na misemo yake ya kinafiki sijui msukuma gani ana mambo ya mipasho kiasi kile
Mimi sioni uhusiano wa kutaka posho iongozwe na kuwa kipenzi cha watu, mbona kuna watu wamezimia baada ya Rostam kujiuzuru? wakati tunajua dhahiri kuwa huyu ni fisadi. Bado siamini kama ni sahihi zaidi kuyaita mawazo ya mwanajamvi mwenzako ya kijinga, ni bora tu utoe mawazo yako yaliyo sahihi badala ya kutumia fallacy.
Igunga na Nzega kuna WANYAMWEZI wa Dakama (yaani Kusini) na ukienda Mwanza/Shinyanga unawakuta Wanyamwezi wa SUKUMA (yaani Kaskazini). Siku nyingine acha kudandia mambo usiyoyajua. Utakuja kumvua chupi mama mkwe bure!!!
Kipenzi cha wengi waliomchagua, hivi huwezi kuchangia hadi utoe maneno mabaya?
Nashindwa kuona ujinga hapo, niliposema kipenzi cha wengi nilimaanisha wapo wanaompenda tena kwa ushahidi, Mbowe na viongozi wa CDM walipoenda shinyanga waliambiwa wazi kwenye mkutano kuwa watu wa shinyanga wanampenda Shibuda naye Mbowe alisema pia katika chama nao wanampenda. Sio sababu za kutumia maneno mjinga, mpumbavu, mpuuzi kwa mwana jamvi mwenzako eti kwa sababu tu mnatofautiana mawazo.