Kichama Shibuda hana nguvu, anaweza kuwekewa mkakati, akafukuzwa uanachama na kupoteza hata ubunge.
Kinachwapa watu maswali hapa ni, Shibuda anathubutu vipi kuwa na kiburi hiki? Je, kashajichukulia siri nzito za CHADEMA kiasi cha kuweza kubwabwaja bila kuogopa huku akijua kwamba inawawia vigumu CHADEMA kumfukuza kwa kuwa wanajua ana siri za uongozi wa juu wa chama?
sijui kama HALIMA mdee ni mkristo,..na sijamuweka kwenye list ili kubalance wakristo na waislam,ni kwa sababu ameonyesha utiifu mkubwa kwenye mapambano ya ukombozi...dhambi ya udini itawasumbua sana ccm,hamfanyi jambo bila kuhesabu idadi ya wakristo na waislam..shame on y'all ccmWewe sema ukweli wa nafsi yako.........Haumuamini Prof. Safari kwan sababu ana jina la Kiislamu. Hata kwenye orodha yako ya watu wa kuaminiwa slaa, mbowe, mnyika, mdee, lissu wote ni WAKORINTHO!
Ndugu za WAGALATIA!wakorintho ndio nini tena?
Kheeee heeeee heeee heee... EeH Kweli tupu hapo!Akifananisha chama hicho na utelezi wa mlenda.
Namhurumia sana John Shibuda kwamba huko alikokimbilia ni sawa na mtu alikuwa anamkimbia simba akaamua kijificha kwenye pango lakini ghafla akajikuta amekanyaga kichwa cha nyoka akapata mtihani mgumu, je atoke nje ya pango aliwe na simba au abaki ndani ya pango agongwe na nyoka mwenye sumu kali?
Nadhani Shibubda angejua kwamba CDM ni sawa na nyoka mwenye sumu kali, katu asingeiomba imdhamini awe mbunge wa Maswa, hata hivyo, asihofu porojo za CMD kwani wapiga kura wa Maswa sio wajinga wanajua maana ya kuwakilishwa[/QUOTE
unampotosha mwenzako.
Wasukuma wanamuita Zagamba wa Zagamba!Shibuda ni mwanaume wa shoka kwa kisukuma anaitwa Nyanda Jilili.
Kusema ukweli Chadema ilichemsha kumakaribisha huyu mtu kwenye chama...
Mbona CCM walimtimua kama hapo red ni ukweli??Chadema wanamuogopa Shibuda kwa kuwa wanahofia nyadhifa zao katika chama zilizokaa kikabila na kikanda. Shibuda ni zaidi yao wote kwa siasa, hawamuwezi.
Binamu wa Waefeso na Wafilipi!Ndugu za WAGALATIA!
huyu ni NKEMA.Wasukuma wanamuita Zagamba wa Zagamba!
Shimbunda sijui asahibuda ni nani kwani, si kaja kakuta chama huyo alichegama mvua sasa anaona kumekucha anatafuta namna ya kusepa. Hatuitaji vilaza kama anaona CDM hapamfai njia nyeupe, asituletee mifarakano huyo mwanasiasa uchwara!!!!!!!!!! Mtu amebebwa ametunzwa shukurani yake ni kunyea kambi!!!!!!!!!Chadema wanamuogopa Shibuda kwa kuwa wanahofia nyadhifa zao katika chama zilizokaa kikabila na kikanda. Shibuda ni zaidi yao wote kwa siasa, hawamuwezi.
mkeo kakwambia eeh! nawe una roho ngumu, unatangaza hadharani! duh!Wasukuma wanamuita Zagamba wa Zagamba!
Nakumbuka wakati wa uchaguzi mwaka jana Chadema ilionywa na baadhi ya watu humu kuhusu kuchukua mabaki ya vyama vingine. Kama kawaida wale mashabiki ambao hawaangalii mbele wa kureason wakatetea. Kuna baadhi ya members walionya specifically kuhusu Shibuda lakini wale fuata upepo wakamuita Shibuda "kamanda", "mpiganaji", "mwanamapinduzi" nk. Leo hii watu hao hao wamemgeuka kitu kinacho thibitisha kwamba humu ndani kuna wengi tu ni bendera fuata upepo na hawana uwezo wa kupingana na wengi ao uwezo wa kufikiria wenyewe.
Anyway ishu ya Shibuda Chadema ilijikoroga yenyewe. Sasa tuone watakavyo deal na hii ishu. Ila ukweli ni kwamba kuna watu walisema Shibuda ni shushushu na kama anatishia kwamba wakimfukuza Chadema watakiona inawezekana kasha tengeneza profile kubwa kuhusu Chadema tayari kulitumia dhidi yao.
Msikurupuke, nyie mtengenezee mazingira ya kukiuka sera ambazo sheria yake ni kufukuzwa. Ataingia kwenye mtego tu. Then mnamaliza kazi