Sijui kwanini kamati kuu ya chadema wanamwangalia tu,huyu jamaa mi nadhani anatumiwa na ccm ili ajitangaze na watu wamwekee imani na ikifika 2014 aihame chadema ili ivurugike,wasimpomfukuza sasa watakuja kujutia baadaye,a guy is getting popularity wao wanamwangalia tu
Kwani ni kosa mwanachama wa chama chochote kueleza hadharani nia yake ya kugombea Uraisi? Ni vizuri mimi na wewe tukaangaikia zaidi maisha ya familia zetu na kuachana na si-ha-sa kwa sababu kila kauli inayotolewa ina sababu tofauti na mimi na wewe tunavyofikiri
Mhe. John Maghale Shibuda Mbunge wa Maswa kwa Tiketi ya chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) amesikika mara kadhaa akijinadi yeye ni Rais ajae wa Tanzania kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema...
​hapana....ni free mason ndio waliomdanganyaHuyu jamaa sijui mganga gani aliyemdanganya...!!!