Shibuda aishangaa demokrasia ya CHADEMA

Kama hichi ndicho kipimo cha akili yako kazi ipo,ni sawa na kumtembeza bata mjini ukitarajia mauzo.
 
wewew ni mchovu tu tunakufahamu,hao wazee wa kisukums na mipasho ya kizaramo wapi na wapi?kama ni vijana ndani ya cdm wanao wa kutosha.
umezoea mipasho ya kwenu na hiyo mipasho ndiyo iliyotufikisha hapa tulipo .
chadema ni kiboko yenu na vibaraka mnaojaribu kuwaingiza humo watatemwa na mfumo chadema.
habari ndio hiyo.
 
Mimi ndo maana sipendi kubeba haya makombo toka magamba mengine ni nuksi tuuu
 
Nimekuwa nikufuatilia kwa karibu mijadala mbali mbali ya bunge na hata juzi nilimsikliza mh Shibuda kwa makini na nimegundua kwamba huyu mtu ni msaliti hafai kuwa ndani ya chadema cause yuko against na CDM
 
demokrasia ya chama kinachoongozwa kwa taratibu za mtei na familia itatoka wapi.

shibuda wewe nyamaza tu mwenye taasisi kasema. wenzako hao wanaitikia zidumu fikra za mwanzishaji. Zitto aliambiwa mtoto kaa chini huwezi gombea uenyekiti. kafulila alifulia huko huko kwa kumpinga mwenyekiti.

akili ya kuambiwa changanya na yako.
 
Dr Shibuda,

Mkikubaliana kuingia msikitini kwa kanzu halafu weye ukaja na suti unajionaje mbele ya wenzio?
 
Sasa kuna magamba mengine hayafai, ni makapi,, ndo wakina Shibuda
 
yaonyesha kuwa Shibuda si mmojawapo wa CDM. Hana taarifa na yanayofanywa na WanaCDM kama wabunge. Yupo yupo tu kama mtu aliyekosea njia. Kama hayo ni maoni binafsi je na posho anachukua!!??

Tatizo si Shibuda bali tatizo ni CHADEMA. CHADEMA ilikurupuka kubeba kila kilichoachwa na CCM. Ndio iliwasaidia kupata viti vya Bunge lakini hii ndio gharama yake kwani kitu cha kuokoteza hakiwezi kuwa na msimamo mmoja.
Angalia sasa jinsi Lema anavyowayumbisha. Hivyo kipi kinachotangulia kati ya uongozi wa juu au mwanachama mmoja mmoja? Baada ya muafaka wa Arusha viongozi wa juu walinyamaza kimya lakini Lema akatokeza na baada ya siku nnee eti Katibu Mkuu anatokeza na kutowa kauli ya Chama kwa kufuata matakwa ya mtu mmoja. CHADEMA haina budi kuvuna ilichokipanda na huu ni mwanzo tu iwapo Chama hakina Kiongozi mwenye kutowa uamuzi wa Kichama.
 
Shibuda, like your kin in political prostitution, you belong to this category: cheap tarts
So, F.U.B!
 
Huyu wamtose tuu kwani hana pakwenda ss vi amekuwa anatoa msimamo tofauti na chama chake

Kwani Katiba inasemaje juu ya wabunge wa upendeleo pale unapopunguza wabunge wa kuchaguliwa? Mnafikiri Shibuda hana akili?
 
shibuda ni gamba lililopotea njia likajikuta cdm ... Lioneshwe mlango wa kutokea tulipotezee mbaliiii
 
Kama nyie CDM mna jeuri kweli jaribuni kumfukuza Mpambanaji John Shibuda mmuone, Wasukuma wamewasaidia sana nyie CDM ndio a loser Dr Slaa alipata kura nyingi kuzidi kwenu Kaskazini, leo mnamtukana Msukuma mwenzao Shibuda, Mkuu, Shibuda, kaongee na baraza la wazee wa Kisukuma wa kanda ya ziwa kawaeleze yote usifiche kitu wamezoa sana hawa
 
kilanga pamoja na rev kishoka waliwaasa viongozi wa chadema juu ya kuja kwa huyu jamaa........hawakusikia...walipiga sana kelele....dada kilanga ndo kabisaa aliongea kweli...hawakumsikiliza......hahahah
 

Kitu kinachonishangaza mimi ni kuwa hakuna hata mmoja anaeweza kupinga hoja zake. Kama CCM walimchoka kwa vile alikuwa muwazi basi sioni kwanini CDM iwe sawa na CCM kwa hatuwa yake ya kuwa mkweli? Huku kutofautiana mawanzo CHADEMA kulianza na Shibuda? Kwani Zitto ilikuwaje, Kafulilah ilikuwaje? Nini inachotufundisha sisi tulio nje ya siasa? Tuamini kuwa kila kiongozi wa CDM lazima awe na mawazo ya Katibu Mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…