W Willy sony Member Joined Apr 4, 2012 Posts 22 Reaction score 3 May 6, 2012 #1 hatimaye shetta akaa jamvini na kufunga ndoa na mwanadashosti ambaye kashamtia mimba ina miez 7
S shosti JF-Expert Member Joined Dec 21, 2010 Posts 4,902 Reaction score 1,508 May 6, 2012 #2 Du kuna wazazi wana mambo,sasa huyu nae mkwe mwe!
The Boss JF-Expert Member Joined Aug 18, 2009 Posts 49,320 Reaction score 117,611 May 6, 2012 #3 shosti said: Du kuna wazazi wana mambo,sasa huyu nae mkwe mwe! Click to expand... we acha kashfa lol kwa nini asiwe mkwe lol
shosti said: Du kuna wazazi wana mambo,sasa huyu nae mkwe mwe! Click to expand... we acha kashfa lol kwa nini asiwe mkwe lol
S shosti JF-Expert Member Joined Dec 21, 2010 Posts 4,902 Reaction score 1,508 May 6, 2012 #4 the boss said: we acha kashfa lol kwa nini asiwe mkwe lol Click to expand... sasa kashfa iko wapi hapo...unakuwa na mkwe hata kumtambulisha utauta nipishe huko!!!
the boss said: we acha kashfa lol kwa nini asiwe mkwe lol Click to expand... sasa kashfa iko wapi hapo...unakuwa na mkwe hata kumtambulisha utauta nipishe huko!!!
The Boss JF-Expert Member Joined Aug 18, 2009 Posts 49,320 Reaction score 117,611 May 6, 2012 #5 shosti said: sasa kashfa iko wapi hapo...unakuwa na mkwe hata kumtambulisha utauta nipishe huko!!! Click to expand... na wewe utakuja kupata wakwe hao......acha tu lol
shosti said: sasa kashfa iko wapi hapo...unakuwa na mkwe hata kumtambulisha utauta nipishe huko!!! Click to expand... na wewe utakuja kupata wakwe hao......acha tu lol
W Willy sony Member Joined Apr 4, 2012 Posts 22 Reaction score 3 May 6, 2012 Thread starter #6 mkwe mkwe 2!bt awe anajibehave as a husband!
S shosti JF-Expert Member Joined Dec 21, 2010 Posts 4,902 Reaction score 1,508 May 6, 2012 #7 The Boss said: na wewe utakuja kupata wakwe hao......acha tu lol Click to expand... hahahahahahahah umeamua na kunilaani kabisa....sijui lakini maana watoto wa siku hizi wanaweza kukuletea kituko ukazimia mara 100,mungu aniepushie wallah maana na nilivyo itabidi watafute mama mkwe wa dharura!
The Boss said: na wewe utakuja kupata wakwe hao......acha tu lol Click to expand... hahahahahahahah umeamua na kunilaani kabisa....sijui lakini maana watoto wa siku hizi wanaweza kukuletea kituko ukazimia mara 100,mungu aniepushie wallah maana na nilivyo itabidi watafute mama mkwe wa dharura!
W Willy sony Member Joined Apr 4, 2012 Posts 22 Reaction score 3 May 6, 2012 Thread starter #8 duh!!uciombe ukaja kukatalia wew na mamamkwe!!utajuta kuolewa!
S shosti JF-Expert Member Joined Dec 21, 2010 Posts 4,902 Reaction score 1,508 May 6, 2012 #9 Willy sony said: duh!!uciombe ukaja kukatalia wew na mamamkwe!!utajuta kuolewa! Click to expand... mie kikongwe mama mkwe wa nini mie,najiandaa kuwa mkwe mwenzio!
Willy sony said: duh!!uciombe ukaja kukatalia wew na mamamkwe!!utajuta kuolewa! Click to expand... mie kikongwe mama mkwe wa nini mie,najiandaa kuwa mkwe mwenzio!
W Willy sony Member Joined Apr 4, 2012 Posts 22 Reaction score 3 May 6, 2012 Thread starter #10 lol salale....inatosha mkwe mwenzangu!!bt nawew watoto wako watakuletea wakwe weny nyodo mara 100 zako!
lol salale....inatosha mkwe mwenzangu!!bt nawew watoto wako watakuletea wakwe weny nyodo mara 100 zako!